Haswaa! Ni wehu ati mtu kudhani peke yake ndani ya chama chake ndiye anafaa kuwa raisi. Na wengine wakaenda mbali zaidi kwa kutoa form ya mgombea mmoja tuu.
Aisee.. hayo mawazo si ya mkristo au yeyote amwaminiye Mungu Mwenyezi.. usifikirie kuwa mambo flani hayawezekani kwa mtazamo wa akili za binadamu zenye ukomo.
Hakuna shida kiongozi wa kidini kufanya shughuri za kisiasa. Shida ni kuwa na ndimi mbili. Huyu ndg anasahau alichosema tena madhabahuni. Anajipinga huyu. Na hapoo.... aaa... bila shaka anataka kuwapima wapiga kura. Yeyote atakayepinga haya atolee kwanza ufafanuzi wa maneno ya awali ya mchungaji.
Swala la kufunga barabara saa kadhaa ati anatarajiwa kupita kiongozi huwa linaniachia mtazamo hasi juu ya viongozi, huwasababisha kukwama kwa mambo mengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.