Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,814
- 18,807
Dawa ya Madagascar ilipotangazwa kuwa inatibu bila kuwepo hata majaribio ya standard, WHO hawakubaliana nayo, nchi kadhaa za Africa na TZ ikiwepo waliagiza dawa hiyo huku wakidai WHO inatuhujumu,
Tukadai wameikataa kwa kuwa sio ya Wazungu, Leo hii Madagascar hali ya Corona imekuwa mbaya, visa vipya na vifo vimeongezeka Hadi wamefanya lockdown
Hili linazidi kuthibitisha kuwa Waafrika wengi tunapekekeshwa kwa mihemko badala ya Sayansi na logic.
Waafrika tunapenda kukifanya victim kila wakati kuwa matatizo yetu yanasababishwa na Wazungu kumbe 99% ya matatizo yetu Ni sisi wenyewe
Vita za wenyewe kwa wenyewe tunasema zinasababishwa na wazungu eti ili watuibie rasilimali zetu, kumbe ujeuri, upumbavu na tamaa zetu ndio kisababishi Cha Vita za wenyewe kwa wenyewe hapa Afrika
Mitano ipo mingi Ila nitatoa miwili
Mfano wa kwanza: hapo Sudan Kusini viongozi wake licha ya kupatanishwa sana na jamii ya kimataifa wamekuwa wakivunja makubaliano ya amani Mara kwa Mara huku wananchi wao wakiteseka na bado tunalaumu Wazungu
Mfano Mwingine: 2017 Kenya walifanya Uchaguzi kidogo waingie kwenye Vita na kutaka kuigawanya nchi,
maBalozi wa Uingereza na Marekani wakamsihi Odinga kiongozi wa Upinzani aache mpango wa kujiapisha na wakae chini na Uhuru wakubaliane, Ila mabalozi hao walitukanwa na kuambiwa wanaingilia siasa za ndani za nchi japokuwa baadae ushauri wao ulifuatwa
Ni wazi kuwa Kenya wangepigana Vita bado Wazungu wangelaumiwa kuwa ndio wamechochea ili waibe rasilimali au democracy yao ndio imesababisha vita, hatutaki kuichukua responsibility kwa matatizo yetu Bali kulaumu tu Wazungu