Acha uongo kaka Mimi nilienda Tanesco nikaomba wakanisadia bila shida tena kwa muda mfupi kwa sasa mpo Tariff 4.
Sent from my TECNO-N9S using JamiiForums mobile app
Jamani nmesikitishwa sana na huduma mbya tena za hovyo hapa KCMC leo tunasubiria X rays kwa zaidi yà lisaa limoja .Kwakweli tena mgeni amepata ajali.KCMC hovyo hovyooooo hovyo fuatilien aliekuwa zamu x rays Leo tareh 24/11/2017 .Nyie bure kabisa
Sent from my TECNO-N9S using JamiiForums mobile app
Siyo lazima aende mahakamani yeye Traffic anayepima anaweza kukusaidia mi nilipata ajali last year traffic walikamilisha kila kitu mimi nilienda kujaza claim form tu.Kwahiyo aongee na trafic aliyepima atamalza mpka mahakamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe mwepesi kutuka soma hapo chini Kenyatta kasemaje !!!
Idara ya Mahakama Kenya ina 'Tatizo' - Uhuru Kenyatta
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa taifa hilo lina 'matatizo' na idara ya mahakama ambayo inahitaji 'marekebisho'.
Alikuwa akizungumza katika hotuba uliopeperushwa moja kwa...
Umemsikia Kenyatta anamesemaje kuhusu kurudia uchaguzi,?? Trump aliiba walirudia uchaguzi??? Je uingereza inakatiba ?? Katiba siyo chakula pambana,tafuta hela wanasiasa wasanii tu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.