NINACHOKIONA KWA WCB,WAKO VIZURI SANA LAKINI TATIZO WANATOA NYIMBO NYINGI SANA 4A SHORT TME,HADI MASHABIKI WANASHINDWA KUFANYA CHOICE,INAKUWA KAMA WANAZISAHAU IVI
Ya pili umekosea huwa ni usemi ttu ambao upo,lakini ukitumia ndugu ni bora zaidi,jarbu kuangalia biashara za wahindi,waarabu na baadhi ya makabila hapa bongo kama wakinga,wachaga na n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.