Recent content by Kwedinguzu

  1. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Ajira Jeshi la polisi

    Kua na subira, majina yanachakatwa
  2. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Shukrani mkuu
  3. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Msaada wakuu, nikiupload passport size, nikiludi kuiangalia siikuti
  4. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Nashindwa ku upload picha wakuu, japo size nimeipunguza
  5. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Najali Afya Nutrition Clinic

    Habari Wakuu? Bila shaka ni wazima Afya, poleni sana na changamoto za kutafuta ugali. Mwaka 2023 ndo huo unaisha, Wasaka ajira wenzangu, huu mwaka umeishaje? Unajionaje kwenye harakati za kusaka ajira, mwaka 2024 tutatoboa? Tuzidi sana kumuomba Mungu, naamini ipo siku tutafika nchi ya ahadi...
  6. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Dar Moro “jam ya kufa mtu” inahitaji uangalizi mahsusi

    Ase nilitumia masaa 6 moro to chalinze
  7. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Internship WVT

    Hongera sana, nenda chap
  8. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Nashindwa kusign in, inaniandikia natakiwa kuactivate account, baada ya kujisajili sijapata email yeyote. Msaada tafadhali
  9. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania EACOP Wanatoa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji wa miundombinu ya bomba la mafuta

    Ni certificate/ diploma/ degree / masters/ gani ya science wanahitaji?
  10. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Mimi naona bora uandike elimu unayofit, maybe wale waliofika kwenye semina waje watueleze ni certificate/ diploma/ degree / masters/ gani ya science wanahitaji?
  11. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Unaweza ukatupa na ratiba za sehemu nyengine watakazo tembelea?
  12. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Online classes itakua kwa muda gani mkuu? Au hawajaongelea hilo?
  13. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Mbona nasikia ule uzi unaotembea mitandaoni, kuhusu kikao DIT sio cha kweli? Kuna taarifa yeyote kwa waliofika leo?
  14. Kwedinguzu

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuona Yanga inaanzia tena nyumbani na kumalizia ugenini

    Timu kuanza ugenini au nyumbani inategemea na points alizojikusanyia kwa kipindi cha miaka 5. Na utaratibu ni kua timu yenye points ndogo lazima icheze na giant mwenye points nyingi. Yanga hakuna points tulizovuna kwa kipindi hiki cha miaka 5 kwenye mashindano yeyote ya CAF, hivyo basi uwezekano...
Back
Top Bottom