Sahihi: Mama Mgaya alikuwa mke wa Tano. Kwa wakati kwa mujibu wa tamaduni na mila za kizanaki mke mkubwa alikuwa na mamlaka ya kumchagulia mke mwingine Chifu au mumewe. Alikuwa akiona binti mdogo ambaaye hajafikia umri wa utu uzima akipendezwa naye anapeleka pendekezo kwa mzee na mzee akikubali...
Namba 5 ninamashaka nayo kwa mujibu wa kumbukumbu kwenye kitabu cha Nyerere of Tanzania kwa simulizi zake Mwl. Ukristo alianza alikiwa Mwisenge kwa kuhudhuria mafundi ya Jumanne na Alhamis lakini alikuwa hamwamini mwl wa somo kwani alikuwa na ndevu nyingi lakini pia bado alikuwa na imani yake ya...
Kama wewe ni mtanzania je unaijua siku ya Mashajaa. Kama unaijua akinani wanakumbukwa? Huwa kuna zana gani kuashiria ukombozi? Je katika vita ya majimaji alipigana Kinjekile peke yake na kwanini akumbukwe yeye na wengine je? Ukipata majibu ya haya maswali baadhi ya hoja zako zitakuwa zimejibiwa.
Karibia historia nzima ya Mwalimu imehifadhiwa katika jengo hili Makumbusho ya Mwl.J.K.Nyerere Mwitongo-Butiama. Hao ni walimu na wanafunzi waliofika katika makumbusho hayo kujifunza zaidi kuhusu maisha ya Mwalimu
Baba wa Taifa ilikuwa ni kawaida kwake kuwa fimbo mahali popote wakati wa uhai wake. Mwalimu hakuwa na fimbo moja kama watu wanavyodai bali alikuwa na fimbo nyingi ambazo zingine zimo kwenye makumbusho yake Butiama. Mwalimu kabla ya kuwa raisi wa Tanganyika na wakati wa kupigania uhuru alikuwa...
Kuzuiwa kwa fao la kujitoa ni ujanja ambao wengi wetu hatuujui ambopo ukiuangalia kwa undani zaidi kuna siri ambayo imefichwa. Kwanini leo hii fao la kujitoa lizuiwe mbona haikuwa zamani? Ninachokiona hii mifuko ya jamii iko kwenye hali mbaya kifedha kwa mantiki kubwa kuwa wanachama wengine ni...
Chuo cha Ualimu Klerruu kiko mjini Iringa chenye kutoa mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na diploma ambacho pia chuo kikongwe hapa nchini na kimetoa walimu wengi sana wa masomo ya sayansi. Lakini chuo hiki ni kwa muda mrefu kimekuwa kikikatiwa huduma za umeme na maji na kwa muda huu chuo...
ACHA WAKATWE TU MAANA HAKUNA NAMNA TENA WALIKUWA HATUSIKILIZI SISI WA CHINI TUNAPODAI KUONGEZA MISHAHARA YETU. AU WEWE UMMOJA WAO WANAOLIPWA HAYO MAMILIONI NINI UNAJIFANYA KUWA UMFANYAKAZI WA CHINI. JIWE LIMERUSHWA GIZANI NAONA LIMEKUPATA. HAO VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KILA MARA WALIKUWA...
mleta mada nadhani hukuwa na kuleta au unataka kuonekana tu kwamba umeleta mada! Huenda hats historia ya nchi hujui Na Mwl. aliipokea ikiwa katiaka hali gani! Mwl. alushaondoka hata ukimsema vbaya inatusaidia mini Na kama alifanya mabaya Mbona taasisi nyingi zinaenda kwa jina lake? Kabla ya...
Hakuna cha ajabu hapo maana ulijua anaenda kuonana na mpush ambapo taratbu zao za kusalimiana ziko hivyo kwa kaka au baba Na watu wengine wanaomzidi umri
Hili nakuunga Mkono cwt kwa kweli hakina msaada kwa Mwalimu katika kudai haki zake zikiwemo kusoma. Eti viongozi wanasema kusoma sana kwa Mwalimu hakuna maana mwisho ni bachela tu zaidi ya hapo ni mapambo. Huwa najiuliza hela hii ya walimu nani anaudhibiti na taarifa yake mbona huwa haitoki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.