Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,494
- 113,590
- Thread starter
- #21
Andrew NyerereWanabodi,
Leo tunapomkumbuka Mwalimu, naombeni niwadokolee machache kumhusu mwalimu ambayo sidhani kama wengi mliyafahamu, na kama wapo ni yale waliyoyafahamu kwa kuyasikia tuu lakini hayajaandikwa popote!.
Pasco.
- Baba yake alikuwa ni Chifu na alikuwa na wake 22!. Jee unawafahamu ndugu wengine wa Nyerere kwa Upande wa Baba!. Hawa Julius Kambarage Nyerere (JK-Nyerere), Joseph Kizurira Nyerere (JK Nyerere), na John Kiboko Nyerere (JK Nyerere), hawa ni ndugu wa Tumbo moja. Jee ndugu wengine wa Mwalimu kwa hao wake wengine 22 wa baba yake ni kina nani?.