Recent content by kwaku the traveler

  1. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya swala langu la ukosefu wa nguvu za kiume

    Wewe umetoka kwa mtaalam unakuja kuuliza tena huku haupo seriously
  2. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Soma mada inahusu nini siyo kama napiga dry
  3. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Ningepiga miti sana Dry
  4. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Ishowspeed ni CIA kama mjatambua.

    Dah mnampelekea sana moto et mossad la mtambaswala
  5. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Arusha inaharibiwa na uselamavi

    Arusha kuna machoko wengi kuzidi dsm nenda Sakina tripple A juu hapo uone walivyojaa nenda The hub ndio balaa
  6. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania KERO Ujanja wa Mawakala wa usajili wa line umezidi, haki za Wateja ziheshimiwe

    nilipga hela kwenye kampuni ya Voda Kuna dogo alijichanganya michezo kama hiyo
  7. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi

    mwanamke Bora
  8. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi

    kikubwa awe safe tu bila magonjwa mengine tutavumiliana
  9. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi

    Kwan Umri umeenda sana
  10. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi

    Duh noma aisee
  11. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi

    hapana mkuu naweza nikapata
  12. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi

    Natafuta mke mwenye sifa hizi; umri kuanzia miaka 20 had 25, asiwe na mtoto, awe mweupe au mweusi vyote sawa na akubali kupima Afya (HIV) kabla ya ndoa, mwenye Elimu yeyote na kabila lolote, Sifa Zangu: Umri wangu 30yr, Urefu 6ft mweusi mwembamba, kabila Myao, naishi Kahama karibu Dm kama...
  13. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Kama ulikua hujui kuwa DAR ES SALAAM kuna TAPELI WA JUICE wacha nikufahamishe;-

    Namjua huyu jamaa had Leo sijui ilikuwaje kuwaje had aliniweza Ile siku tulikuwa wawili
  14. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano Gani ya kuchukia kelele na umri kwa Wanaume?

    ngoja ni subscribe hapa najiona mimi lakn Mimi sipendi kelele tangu mdogo ukubwani huku ndio nimezidi
  15. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Hivi ni vifaa muhimu kuwa navyo nyumbani kwako

    sijaona ngazi hapo
Back
Top Bottom