Recent content by Kwakivesa

  1. K

    JamiiForums Tanzania WANAKOELEKEA WADANGANYIKA NI KUBAYA ZAIDI KULIKO WANAKOTOKA

    Sasa hivi hali ni shwari kwa sababu wanaonufaika na mfumo wa sasa nchi ya wadanganyika ni wachache na wao wanafanya hivyo wakijua kwamba hawawezi kuondoka leo au kesho: Wamezunguukwa na wakwepa kodi ambao wanahakikisha wanafanya kila linalo wezekana aliyepo kwa kiti haondoki ili waendelee...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jussa: Siyo kila kitu tukimbilie wasuluhishi wa nje

    Sasa nani asimamie maridhiano? Mzee Butiku,askofu mkuu wa kkkkkkkkkkt,Manabii na Bakuruwatra? na upande wa vyama AAAAAAAfp na Chaumwa na wazalendo AC?:cool::cool:
  3. K

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa kiongozi mtaafu

    Habari za uzee wako: Nakuandikia ujumbe huu nikikusihi ufanye kila linalowezekana ukishawishi chama chako,umshawishi aliye kitini kufanya kila linalowezekana kutengeneza kijitabu ambacho kitawaongoza wananchi wadanganyika kwa kipindi kingine cha miaka 50 ijayo. Kwa sasa hali ni mbaya ingawa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana watu wa kumuambia ukweli kuwa Wananchi hawampendi na hawataki awe rais wao?

    Sidhaani kama ni kweli eti kwa sababu ya dini;mimi ni dini moja na huyo;lakini sina tabia kama za Mwaipopo,kila siku dini dini dini;mbona kuna mashekh walisota jela JPM akaja akawatoa?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Siyo kwamba Nchimbi kawekwa kizuizini

    Cdf Waitara mjeshi na mbunge ni watu wawili tofauti;ni majina tu yanafanana mzee,au mimi ndio nakosea?
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM Haitaki maridhiano

    Wakati muafaka ndio haufiki sasa,tunaishia kudanganywa dangaywa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

    Kuweni serious basi Jf:CATTING::CATTING:
  8. K

    JamiiForums Tanzania Lakini hatukwenda BAKWATA maana wale ni MaCCM" Tundu Lissu.!

    Yes,Hata huku kwa KKKKKKKKt wana mikono yao :Agakakskagesh: :Agakakskagesh:
  9. K

    JamiiForums Tanzania Lissu haponi kesi hii

    Na yeye hataki kupona,vinginevyo angepokea chochote kitu kama chairman mstaafu;yeye yupo tayari kwa lolote na hata ikibidi kunyongwa
  10. K

    JamiiForums Tanzania CCM Haitaki maridhiano

    Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu hali ya kisiasa nchini na kile kinachoitwa maridhiano. hali hii imenifanya nitafakari jambo hili kwa muda mrefu na kuona nitoe maoni yangu kwenye forum hii ili waungwana mpime na mjiridhishe kabisa kwamba Chama Cha mapinduzi hakitaki maridhiano na hakina nia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Napinga ushauri wa THRDC wa kuitaka CHADEMA izungumze na Serikali

    Kuna kila dalili kwamba amenusa hukumu ya kesho;ikiwa hivyo ndivyo kwa maoni yake yupo sawa. lakini kuna hoja itajitokeza kwenye maridhiano iwapo kweli chadema watakubali;agenda za maridhiano zitakuwa zipi? Kwa chadema hii hata wakikubali hao maridhiano hawata taka mtuhumiwa wa mauwaji asimamie...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Naamini kwa ratiba iliyopo hatutakuwa na Katiba mwaka 2028

    Ilani ya 2015 pia ilizungumzia hivyo
  13. K

    JamiiForums Tanzania BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

    Kwa akili yako ya utu uzima kabisa,unadhani nani wapo sahihi?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwaherini JF

    Usikate tamaa ndugu,ungana na waombaji kuomba MUNGU aingilie kati hali hiyo;MUNGU anaponya
Back
Top Bottom