Recent content by Kwaasenga

  1. K

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbezi Victoria Kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe

    Wakuu naomba kujua barabara hii tajwa hapo juu mchakato umeishia wapi?? Au ndo na mwaka huu ni ahadi inatoka hivi hivi hivi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Anaitwa John Bocco(Mzee) timu ya Taifa anaachwa Shomari Kapombe kweli "ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni!"

    Huyu si alishatangaza kustaafu timu ya taifa. Amepata alichokitaka.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    Naomba kujua bei ya Easy Power generator 8kva. (Silent na non silent)
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hali ya barabara ya Stendi ya Magufuli - Mpigi Magohe - Bunju ni mbaya sana. Wizara ya Ujenzi, Mbunge wa Kibamba na na TANROADS, shida ipo wapi?

    Kuna jengo la serikali linajengwa pale karibu na petro station karibu kabisa na kwa Masawe. Nadhani ni ofisi za Atomic. Lile ni jengo la serikali na magari ya serikali yatahusika sana. Nayahurumia sana magari ya serikali. Pale write off itakuwa si miaka 5 bali miwili. 😂
  5. K

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mabwepande jinsi ilivyotengwa na CCM

    Na hii inayokuja stand ya Magufuli pale ilipoishia round about (Mbezi High School)??
  6. K

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

    Jimbo la Kibamba tunakukaribisha tena kwenye siasa. Ukiweza 2025 njoo ugombee kabisa huku tukupe kura make mbunge wa sasa hatumuelewi kabisa. Hata barabara za Tanroads zimemshinda kuzipigania.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi

    Kama kweli sarikali inafuatilia huu mtandao, niwaone Tanroads au wizara ya ujenzi wakijibu hii reply. "Barabara ya mbezi high school kwenda mpigi magoe kupitia machimbo inakera sana. Kwa sasa imekuwa mahandaki tupu! Karne ya 21 Tanroads ina barabara za vumbi Dar es Salaam, mkoa unaoingiza...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbezi Mwisho mpaka Mpigi Magoe via Mbezi high school inaitia hasara serikali. TANROAD hamuioni??

    Hii post mpaka leo haijawahi fanyiwa kazi. Daaaaah!
  9. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS mnatutesa sana barabara ya Mbezi High School kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe

    Hii barabara ni kero sana tena sana. Mbunge wetu anaishia kutupanga kila mara. Hii barabara isipotengenezwa mpaka 2025 tutaona hakuna tofauti kati ya mbunge huyu aliyepo na yule aliyekuwepo. Haiwezekani barabara ikawa mbovu kiasi hiki wakati huo sisi tuna mwakilishi. Mzee Magufuli (RIP)...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la ujenzi wa mnara wa mashujaa, Mkoa wa Kagera hautendewi haki

    Vita hiyo ilikuwa na imoact gani kwa Taifa?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la ujenzi wa mnara wa mashujaa, Mkoa wa Kagera hautendewi haki

    Kabisa. Kuna tatizo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la ujenzi wa mnara wa mashujaa, Mkoa wa Kagera hautendewi haki

    Na ukienda Kagera kuna vyuo vikuu vya serikali vingapi?
Back
Top Bottom