Recent content by kwa upole sana

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini dhehebu la SDA huwa wanalishambiulia zaidi Kanisa Katoliki na siyo madhehebu mengine?

    Tatizo hao wasabato hawajui impact ya kushambulia ukatoliki. Ukatoliki ukitikisika duniani na ukristu utakufa jumla, including usabato. Ni ukweli mchungu kuwa msabato au mlokole hawawezi kwenda kueneza ukristo kwenye maeneo magumu kama yale ya waislam wenye siasa kali aka wakata vichwa, ni...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Watanzania Milioni 64, Maprofesa ni 226 tu. Baba wa Taifa ndiyo wa kubeba hii aibu

    Unaonekana una-kaudini fulani. Ukweli ni kwamba Nyerere alitaifisha shule zote zilizomilikiwa na wakatoliki na kuzifanya za serikali. Kama elimu ilishuka wakulaumiwa sio kanisa. Baada ya ujamaa kufa miaka ya Mwinyi, Mkapa, Kikwete hadi sasa kanisa likaruhusiwa kutoa elimu kama kipindi cha...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

    CCM???
  4. K

    JamiiForums Tanzania Profesa Mbarawa awashangaza TanRoads kukosa Resident Engineer wa Miradi na kutegemea Waethiopia. Aangiza Watanzania kupikwa

    Botswana kuna kina Lyimo na Swai wanajenga highways za hatari, Bongo wakipewa watasema “ukabila “
  5. K

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hekari 101 na Magunia 482 za Bangi zateketezwa

    Thailand, USA, Canada nk bangi ni zao halali na watu wanapiga hela ndefu vibaya. Kuna haja ya kuweka sera nzuri kwenye hili zao, tunaweza ku-export kwaajili ya utengenezaji madawa nk
  6. K

    JamiiForums Tanzania Neema Swai: Rubani ATCL aliyerusha ndege ya mizigo kutoka Marekani

    Sasa hivi utasikia huu ni ukabila, somesheni watoto vizuri nchi inyanyuke
  7. K

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya bia, kwanini hawasapoti wimbo wa Bia Tamu?

    Wote importers na hasa hasa producers wamepewa promotion ya nguvu mno, wanapaswa kumtia nguvu msanii
  8. K

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya bia, kwanini hawasapoti wimbo wa Bia Tamu?

    Kuna huu wimbo, “Bia Tamu” ni promotion ya nguvu kwa makampuni ya bia kama Tanzania Breweries Ltd na Serengeti Breweries Ltd, lakini naambiwa haya makampuni yapo kimya kabisa hata kutoa shukrani kwa wasanii husika hakuna. Shame on you kabisa kabisa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Yu wapi yule Robert Amsterdam Wakili maarufu?

    Ni upumbavu kuwa na urafiki usio na maslahi, hata mke anakufuata sababu ya maslahi, bro
  10. K

    JamiiForums Tanzania Traffic wanabambikia watu faini, unaletewa meseji kwenye simu kwamba umepigwa faini na gari halijaenda popote

    Nilishafanyiwa kitu kama hicho, huo ni uzembe wa maofisa wachache
  11. K

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Hili suala si la mzaha tunahitaji sana kuwa karibu na mungu wetu, yeye ndie atatupa njia ya wokovu pamoja na jitihada zetu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mahari ya Single Mom

    Single mom mahari yake ni matunzo kwa mtoto wake hakuna malipo mengine hapo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kuimarisha kinga ya mwili kipindi hiki cha mlipuko wa COVID-19?

    Dawa kitunguu saumu tu, asikwambie mtu, wakati na drive kila asubuhi na jioni natafuna kete mbili kwa siku kete nne hapo hata HIV haifuidafu, mradi liwe zoezi la kila siku.
Back
Top Bottom