Recent content by kwa ufupi

  1. K

    Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    na wewe uliyebaki huko, ccm si babako wala si mamako. toroka uje!
  2. K

    Sitaki CCM lakini namtaka Magufuli

    hata Mimi ningempa. lakini kajichanganya kura yangu.........Edo!
  3. K

    Vituo hewa 20,000 vingempa Magufuli kura 9,000,000

    Lubuva asitusababishie machafuko katika nchi yetu. atende Haki asitafu kwa heshima.
  4. K

    Mafuriko ya CCM Star TV Moshi ni fake

    Kazi kweli wanayo!
  5. K

    Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    imetulia hiyo najisogeza kwenye karedio kangu nimsikie rais mtarajiwa!
  6. K

    Pale mgombea wa Urais anapowasimanga wenzake

    Jamaa anaonekana atakuwa dictator huyu. Hatufai hata kidogo.
  7. K

    Wafanyakazi wa A to Z wagoma kufanya kazi mpaka mwajiri wao awape ujira wa kampeni

    nayo ni wapumbavu tu! wangepata ajali hiyo 15000 ingewafaa nn? watz kwa nn tusiwe na msimamo binafsi? wafanyakazi Wa A-Z wanavyonyanyasika kutokana na malipo kiduchu, matusi na kudhalilishwa kwa kila aina leo wanakubali kwenda kumtetea huyo mhindi wao! maskini watanzania ni link tutaondokana na...
  8. K

    Dr. Slaa atakuwa live Star TV, leo Oktoba 7, 2015 - saa tatu Usiku

    startv ndo nn? TV station za wazalendo ni ITV SUPERBRAND na AZAM TV. startvccm hatutazamagi. ACT wazalendo wamempiga chini maana angewaulia chama, wamegundua hilo wakamtema. Ngoja amalizie xxm kuichinjia baharini.
  9. K

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    kiwanda cha A-Z wanavaa sare za kijani na njano. Mimi ninazo.
  10. K

    Muziki wa Injili Katika ''Kilabu cha Pombe''...!!!

    :target:waacheni wafurahie muziki! maaana muziki unafyrahiwa popote. Kwa nifahamuvyo mimi hakuna muziki wa injili bali kuna nyimbo za injili:nimekataa tafuta huwezi kukuta nyimbo za injili zinapigwa baa maana zina ujumbe unaochoma dhambi. hivyo si rahisi mlevi kuzipenda na kuvumilia kuzisikiliza.
  11. K

    Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    nipe e.mail ya pinda hapa nimfoadie!
  12. K

    Makamu wa Rais ana kazi gani?

    hana lolote, zaidi ya kunyonya wanyonge! asiwemo katiba mpya.
  13. K

    NECTA yatikiswa; yacharuka

    kama kayeyusha huyo hedimasita, anyang'anywe shule.....anatuharibia watoto!
Back
Top Bottom