Recent content by Kuwite94

  1. Kuwite94

    INAUZWA Nauza ramani za nyumba za aina mbalimbali

    Kuwa wa kisasa kwa kujenga Nyumba yako na Ramani hii ya kisasa ya muundo wa Contemporary (Hidden Roof) yenye mahitaji muhimu, ina.. ~Sebule ~dining ~vyumba vinne kimoja master ~jiko ~stoo ~public toilet ~entrance veranda { Baraza ya mbele} ~kitchen veranda { Baraza ya nyuma} RAMANI INA UKUBWA WA...
  2. Kuwite94

    INAUZWA Nauza ramani za nyumba za aina mbalimbali

    Kuwa wa kisasa kwa kujenga Nyumba yako na Ramani hii ya kisasa yenye mahitaji muhimu, ina.. ~ Sebule ~ dining ~ vyumba vinne kimoja master ~ jiko ~ stoo ~ public toilet na Bafu la kushea ~ entrance veranda { Baraza ya mbele} ~ kitchen veranda { Baraza ya nyuma} RAMANI INA UKUBWA WA MITA 14 KWA...
  3. Kuwite94

    Hata hiki kidubwasha tunaagiza China!

    Kazi kweli kweli/ Job true true [emoji23][emoji23]
  4. Kuwite94

    Utofauti kati ya Elimu na Akili

    UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI? Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa yale waliyofundishwa...
  5. Kuwite94

    Ukweli kuhusu Maisha

    Mwenye degree asiye na ajira kuna wakati huwa anaona bora angeishia form four na angefanya shughuli nyingine... Na aliyeishia darasa la saba kutokana na hali ya maisha aliyonayo kuna wakati anaona alipaswa kufika chuo kikuu ili awe na maisha mazuri...HUO NDIYO UTAMU WA MAISHA... Uzuri ni...
  6. Kuwite94

    Enzi za Uhenga Trafiki walikuwa wakikamata baiskeli! Unakamatwa sababu baiskeli haina kengele!

    Kama ulikuwa hujui... Kabla magari hayajawa deal, Askari wa Usalama Barabarani walikuwa wanakamata baiskeli.... Makosa yaliyokuwa yanakamatisha 1. Kama haina Kengele 2. Breki 3. Pedal imebaki msongo 4. Kibati (Ushuru wa Halmashauri) 5. Tairi kipara 6. Haina taa 7. Ina taa ila haina Dynamo 8...
  7. Kuwite94

    Tujuzane kuhusu mitandao ya simu nchini

    Halotel wanatafuna MB siyo mchezo
  8. Kuwite94

    Zijue siri za kuitawala Pesa

    Usiiruhusu pesa kuwa muamuzi wa maisha yako bali wewe ndio uwe muamuzi wa maisha yako, usiruhusu pesa ikuamulie nini cha kufanya. Watu wengi pesa ndio inayo waamulia nini cha kufanya na ndio maana wanaishia kuwa maskini, wale wanaoongozwa na pesa ndio wale ambao unakuta mtu akishapata pesa...
  9. Kuwite94

    Maajabu ya mgunduzi wa umeme Duniani

    Ndiyo na ndiyo Maana Elon Musk kwa heshima ya huyu mtu akaiita kampuni yake ya magari yakutumia umeme Tesla
  10. Kuwite94

    Ujue ukweli kuhusu Nyumba za contemporary House (Hidden Roof)

    leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house Contemporary house Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu Endapo mtu atajenga contemporary house ataokoa gharama kwenye kupaua kwani huingia bati chache tofauti na nyumba ya...
  11. Kuwite94

    Mambo muhimu unayotakiwa kujiambia kila siku maishani

    Formula za maisha unazotakiwa kujiambia! -Kila kitu kwenye maisha nimemkabidhi Mungu -Naepuka hasira kwa gharama yoyote -Sipendi kumuona mtu anaumia au kusononeka -Sijiwekei matarajio makubwa -Sina marafiki (Nina watu wakaribu) -Sikai na chuki dhidi ya mtu -Kwangu pesa ni baada ya utu.
  12. Kuwite94

    Maajabu ya mgunduzi wa umeme Duniani

    Nikola Tesla alikua na akili kiasi cha watu kumuona ni mwendawazimu, lakin huyu ndo ameiwashia dunia umeme, ni mtu wa kwanza kugundua mawimbi ya radio, minara ya simu, wirelessly technology, leo hii maji/upepo/gas inageuka kuwa umeme, unasikiliza radio kutoka mbali, unapiga simu kwenda mbali ni...
  13. Kuwite94

    Siri 11 usizozijua za Maisha katika kufanikiwa kwako

    SIRI KUMI NA MOJA (11) USIZOZIJUA ZA MAISHA NA MARAFIKI ZAKO, KATIKA KUFIKIA MAFANIKIO YAKO. 1. SIRI YA KWANZA Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali...
  14. Kuwite94

    INAUZWA Nauza ramani za nyumba za aina mbalimbali

    Ramani ya vyumba vinne, chumba kimoja masta,vyumba vitatu vya kawaida, pia ina ~sebule ~dining ~jiko ~stoo ~public toilet ~veranda mbili ~Ukubwa wa Ramani ni mita 13.8 kwa mita 13.8 ~Mahitaji: Tofali 3500,Bati 50 Kupata Ramani na plan yake tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp
  15. Kuwite94

    INAUZWA Nauza ramani za nyumba za aina mbalimbali

    Ramani Bei zinatofautiana kutokana na aina ya Nyumba
Back
Top Bottom