Recent content by Kusoma

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Wazumbe. Tunapenda kuwataarifu kuwa alumni yetu imepata ofisi iliyopo Uchumi Project Building, Shekilango Road, Sinza. Hivi sasa alumni iko kwenye mchakato wa kutafuta administrative assistant ambaye atakuwa mtendaji wa alumni katika ofisi hiyo. Tafadhali wahamasisheni watu wanaofaa kwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Happening now, Mzumbe graduation. Message from Unguu Ramadhan as he witnesses the events unfold... READ AND TRY TO PULL A NOSTALGIA : FOR those who have never attended a Mzumbe graduation since they vacated the place, you have really missed something. This is my third attendance...
  3. K

    JamiiForums Tanzania marine boards na mbao za slab.

    Wakuu, heshima kwenu. Ninahitaji marine boards na mbao kwa ajili ya ujenzi slab. Iwapo unauza au unamfahamu mtu anayeuza materials hizo zilizotumika tafadhali nijulishe kupitia kwenye thread hii au inbox. Site iko Dar es Salaam Wilaya ya Temeke. Asanteni sana.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Prime low density plots in Mbweni-DSM

    Kweli, huyu ExpertBroker ana dalili za utapeli. Lakini madalali wengi huwa matapeli.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Property Selling and Letting - Ground Rules

    Huyu ExpertBroker ni mbishi sana. Ubishi wake umenifanya nifuatilie posts zake, nimegundua ana personality disorder.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Ukonga Banana

    Huyu jamaa ana dalili za utapeli. Expert hawezi kuwa hivi!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Ukonga Banana

    Huyu jamaa anajiita ExpertBroker lakini anaonekana cheti cha shule alikinuua maana kila anapoandika anaonekana ni kanjanja tupu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania BAVICHA ,UVCCM wamtembelea sheikh Ponda Muhimbili

    Mbona umeweka picha ya Heche tu, halafu unasema Bavicha na UVCCM?
  9. K

    JamiiForums Tanzania RWANDA MPs discuss evictions of Rwandans from Tanzania

    Kwanini Rwanda wakizungumzia genocide wanasema ni genocide against Tutsi? Kwani Hutu hawajauliwa?
  10. K

    JamiiForums Tanzania RWANDA MPs discuss evictions of Rwandans from Tanzania

    Yaani hata hili walikuwa badi hawajui kama taifa mpaka leo? Mukantabana said: “The final outcome of our discussions was the appreciation that within the East African Community, if a problem arose, it can be discussed at a diplomatic level, and a solution worked out in a mutual manner.”
  11. K

    JamiiForums Tanzania Michoro na picha za Majengo (ya Miradi) yaliyowafukuzisha Madiwani Bukoba

    Watanzania kila maendeleo yakianza kuja wanayafukuza kwa migogoro!
  12. K

    JamiiForums Tanzania FORBES: The Young African Millionaire Lighting Up Tanzania

    Chezea mfanyabiashara wa kichaga wewe...
  13. K

    JamiiForums Tanzania YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

    Marco, Nimefuatilia huu mjadala tangu mwanzo. Nilizani utafanya hivo muda mrefu sana. Kuna watu wana vichwa kama nazi! Hata hivyo asante kwa michango yako, hasa kuhusu marketing na sale.
  14. K

    JamiiForums Tanzania YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

    We jamaa kumbe una matatizo. Mwenzio kakwambia usimkwoti kwa sababu haoni unachoandika.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu katu hatosoma vyuo vikuu vya tanzania

    Alivosema jamaa ni kweli. Michango yako iko zaifu. Nyinyi ndio mmenufaika na ukabila mpaka tunafikiria kupeleka watoto wetu Ulaya.
Back
Top Bottom