Nyumba inapangishwa Ukonga Banana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inapangishwa Ukonga Banana

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ExpertBroker, Jul 12, 2010.

 1. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2010
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nyumba ya vyumba vitatu ikiwemo masterbedroom ndani ya fenzi na parking ya kutosha. Jiko, sebule, dinning pamoja na common toilet bila kusahau LUKU! Bei laki 300 kwa mwezi. Nipigie 0784 003 000
   
 2. E

  Eddie JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  "Laki 300" mzee unapangisha Airbus A380?
   
 3. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,896
  Likes Received: 20,985
  Trophy Points: 280
  laki 300..........300x100,000=30,000,000 duh naon hii ndio nyumba expensive to rent i've ever seen.
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  u made my day Eddie
   
 5. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  umeacha sifuri moja hapo mkuu =>300,000,000/=
   
 6. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sorry @MMBEBABOX nilihesabu sifuri kwa haraka na nimeiedit post imegoma.
   
 7. T

  Taso JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  You mean vyumba vitatu vya kulala au?

  You mean fensi

  Milioni 30? Illiterate landlord/ broker. Hawa ndio ma real estate agents wetu bongo jamani, completely illiterate
   
 8. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2010
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Typing errors are always there for any computer user! I inadvertantly pressed the 'post' button before I could do proof read it. This is one of the hazards of the modern technology. The post should read as shown below;

  Nyumba ya vyumba vitatu ikiwemo masterbedroom ndani ya fensi na parking ya kutosha. Jiko, sebule, dinning pamoja na common toilet bila kusahau LUKU! Bei laki 3 (Tshs 300,000) kwa mwezi. Nipigie 0784 003 000

  Nilijitahidi sana ku-edit ikashindikana na hili tatizo nalipata sana toka muonekano wa mtandao wetu wa kijamii umebadilishwa! Nilienda porini kidogo nikakosa mawasiliano ya mtandao, hata hivyo nashukuru kwa challenge mlizotoa wadau kwani kama kawaida waTZ ni experts kuangalia makosa even though the msg was clear!
   
 9. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2010
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0


  I think it also your responsility to make your mental box busy! You can use a common sense that this must be a typing error! Hata Masaki/Oysterbay, the maximun rental price for a residential house is at USD 15,000! Sasa iweje Ukonga ipangishwe kwa digits zote hizo! WaTZ bwana, we still have a long journey to go! How can you challenge the unchallenged! A wise person would have corrected me rather than wasting your calories unnecessarily!!!!!!!!!!!!!
   
 10. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2010
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, vyumba ni vitatu, na kimoja kikiwa ni master! Sasa wether ni vya kulala hilo ni uamuzi wa mpangaji. My house has three bedroom also lakini chumba kimoja ni study room japo mwingine anaweza fanya ofisi. Au wewe kwako vyumba ni kulala tu mkuu!
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ajabu, na-assume haiko ukonga! yaani kila room laki moja kwa mwezi!! kweli hii nchi ya ma-mbayuwayu
   
 12. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,896
  Likes Received: 20,985
  Trophy Points: 280
  wewe unaeweka tangazo ndio unatakiwa kuwa makini,sio kazi yangu mimi nikusahihishe siko ndani ya ubongo wako,hio sio ERROR ni BIG MISTAKE,ur right we still have long way to go with EXPERT BROKER like you.
   
 13. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,896
  Likes Received: 20,985
  Trophy Points: 280
  unakuwa mkali ukisahihishwa?tangazo lako halieleweki haswa ukiwa kama EXPERTBROKER......labda ungeandika hivi NYUMBA YA VYUMBA VITATU VYA KULALA,KATI YA HIVYO VITATU KIMOJA NI ENSUITE NDANI YA FENSI NA PARKING YA KUTOSHA.INA JIKO,SEBULE, DINING ROOM na FAMILY BATHROOM BILA KUSAHAU LUKU.BEI LAKI 3 i.e 300,000/-
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Eddie nimecheka sana hapa
   
 15. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2010
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Ukonga banana maeneo gani pale?bei inashuka kidogo?
   
 16. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2010
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wewe ndio unakuwa mkali mkuu! Uliona ugumu gani right from your first post kunisahihisha? Au na wewe ni Expert mistake checker? Ofcoz am an ExpertBroker, not expert in everything!
   
 17. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2010
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Karibu na kwa Mramba, baada ya hill tech ukivuka reli!
   
 18. K

  Kusoma Member

  #18
  Sep 3, 2013
  Joined: Apr 24, 2013
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa anajiita ExpertBroker lakini anaonekana cheti cha shule alikinuua maana kila anapoandika anaonekana ni kanjanja tupu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. K

  Kusoma Member

  #19
  Sep 3, 2013
  Joined: Apr 24, 2013
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa ana dalili za utapeli. Expert hawezi kuwa hivi!!!
   
Loading...