Recent content by Kusini pride

  1. Kusini pride

    DC Msando atinga kanisani wanaposali waumini wa Gwajima

    Hii nchi ni ya kip umbavu na ina drama failed state kwahiyo hiyo nayo ni habari ya kuipa headache? Taifa linawaza ujinga ujinga tu na siasa za majitaka
  2. Kusini pride

    Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

    Hata Toka lini Tanzania box la kura ndiyo linaamua ushindi wa uchaguzi?
  3. Kusini pride

    Hotuba ya Polepole kwa lugha yetu huku mtaani

    Uchambuzi wa hotuba ya mheshimiwa Polepole kwa lugha inayoweza kueleweka huku uswahilini kirahisi. Kwa ufupi, Polepole amelalamika kuwa utaratibu wa familia wa kula pilau pamoja kwenye sinia moja kwa ustaarabu na maadili umeharibiwa; ameshutumu utaratibu wa zamu na ratiba za wapishi kupuuzwa na...
  4. Kusini pride

    CCM tupo watu 15 tu ambao tuna maanisha maana ya Tanzania na utawala bora hatutaki ujinga

    Nyie wanasiasa ni wapumbavu mmekatiwa mirija ya kupiga tu nyie wapuuzi sana wanasiasa
  5. Kusini pride

    CCM tupo watu 15 tu ambao tuna maanisha maana ya Tanzania na utawala bora hatutaki ujinga

    Hovyo kabisa kioindi cha Magufuli huyo pole pole alikuwa wapi? Nyie wanasiasa wapumbavu na wajinga sana
  6. Kusini pride

    GE2025 Upinzani ndani ya CCM: Kinachompoza Samia ni kuwa mwanamke?

    Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli...
  7. Kusini pride

    Upinzani ndani ya CCM, kinachompoza samia ni ujanajike

    Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli...
  8. Kusini pride

    Umemtongoza demu wa rafiki yako unaenda kumla unakuta bado ni bikra

    Yaani una copy na kupaste story za Facebook unatuletea huku ili iweje?
  9. Kusini pride

    Jaji Warioba na Polepole wamekuwa na mawasiliano mengi sana miezi ya karibuni wakipanga tukio la leo

    Waziri mkuu Gani ambaye amefanya jambo la kueleweka? Kidogooo Lowassa kwa kujenga shule za kata angalau
  10. Kusini pride

    Mwalimu auawa kikatili kwa kukatwa na kitu chenye Ncha kali Geita

    Polisi Mkoani Geita linamshikilia Mtuhumiwa Mmoja aliyefahamika kwa jina la Nickson Johson (54) Mkazi wa Manispaa ya Geita anayetuhumiwa kuhusika katika Mauaji ya Mwalimu Dorosela Salvatory (45) Mkazi wa Manispaa ya Geita ambaye alikuwa akifundisha Katika Shule ya Sekondari Nyanza iliyopo Mkoani...
  11. Kusini pride

    GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

    Nashindwa kuelewa ukiacha kazi unachukiwa na pia ukiendelea kufanya kazi pia unachukiwa nashindwa kuelewa hawa watu wanataka nini?
  12. Kusini pride

    GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

    Polepole atoa taarifa kuwa watu wamevamia nyumbani kwa dada yake, aeleza simu za dada yake hazipatikani. "Kwenye saa tano usiku dada yetu, dada yangu mkubwa alimpigia simu mama yangu akamwambia kuna watu wameruka ukuta wameingia nyumbani kwake anaishi huko Bahari Beach. Na wakasogea mpaka...
  13. Kusini pride

    Video vibaka wakivunja fence ya umeme kwa miguu

    Pumba Vu sana 😂😂😂
  14. Kusini pride

    Video: Mtangazaji asitisha matangazo akiwa hewani baada ya Israel kushambulia Damascus

    Huyu netanyahu ni mwehu, psychopath, Na mpumbavu sana @6 packs
Back
Top Bottom