Recent content by KUSE

  1. K

    JamiiForums Tanzania Majoka makubwa yanapopazwa, ni nguvu gani huwanyanyua kwenda Angani?

    nilisikia kwa jamaa mmoja yeye alikuwa baharia wa zamani na mwengine ni mzee tu wa mtaani ila inavyoonekana ni ishu ya kawaida na hutokea kila baada ya kipindi fulani
  2. K

    JamiiForums Tanzania Majoka makubwa yanapopazwa, ni nguvu gani huwanyanyua kwenda Angani?

    Hii ishu mi mwenyewe nilishawahi isikia kwa watu wawili tofauti kunaonekana kuna ka ukweli hapa ila ngoja tusubiri wadau
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya gharama ya John Pombe Magufuli Safari Kigali Kwenda na Kurudi

    kapimwe sio bure
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Zitto mje mtuambie ukweli juu ya mshahara wa rais

    Yaani mshahara wa raisi eti nimsikilize Tundu lisu ambaye alisema Lowasa fisadi alafu baadae akameza matapishi vilevile kuna kipindi alituaminisha hakuna hati ya muungano baadae serikali ilipoitoa wakabaki kimya, baadae wakamuingiza mtoto wa watu chaka kumsaidia kisheria ili atuaminishe...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Zitto mje mtuambie ukweli juu ya mshahara wa rais

    sasa hata akikwambia milioni mia we utamfanya nini fanya yako acha umbea
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda akosoa utendaji wa Rais Magufuli

    muulize sumaye kuhusiana na nyumba za serikali
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda akosoa utendaji wa Rais Magufuli

    kwa hiyo unachomaanisha masheikh ni vilaza chunga ndimi zako
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi kama kweli kutumia Fedha za Muungano kujenga barabara kunakuza uchumi

    Hivi kwani kuna ulazima wa kukosoa kila kitu basi kama vipi turudi kwenye sherehe za muungano manake wabongo tumezoea kuparty
  9. K

    JamiiForums Tanzania Diamond wa kipindi kileee

    Huyo sio Diamond ni jamaa kafanana na Diamond walishawahi kumuonyesha clouds Tv kipindi cha step up player
  10. K

    JamiiForums Tanzania Obama ni ushahidi tosha, ni kosa kuchanganya Damu!

    dah we jamaa kweli umefikiria mbali
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ajira Tanzania

    Hahahaaaaa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi FNB Bank

    Kwa hiyo e mail ikikaa poa itaenda automatic au tuwe tunatuma kila muda mpaka itakavyokaa sawa.
Back
Top Bottom