Recent content by KURUNZI-1

  1. K

    Jinsia zenu ndio chanzo cha matatizo na vita duniani

    Mansakankanmusa, approach yako n nzur kwa mtazamo wako na wa utamadun wetu japo umeegemea sn upande mmoja na kutumia lugha kali. Jiulize pia, dhambi au kosa utakalotenda kwa makusud utalilipia mwenyewe. Wanaume wengi hasa waliosoma ndio wamekuwa campaigners wa huu usawa. Ila wamesahau kutambua...
  2. K

    Watumishi walazimishwa kuchangia gharama za Mwenge.

    Katika baadhi ya halmashauri hapa nchini zimekuwa zikiwalazimisha watumish wake kuchangia gharama za mafuta ya mwenge. Wengine wamekuwa wakiwakata ktk mishahara yao kwa kila mwezi. Naombeni ufafanuz kwa anayejua, ni sheria kuwa watumish ndio wanachangia hela ya kuukimbiza mwenge ktk halmashaur...
  3. K

    Kongamano kubwa la waislam Diomond Jubilee

    Mungu amsaidie katibu wa Necta, kwan mzimu wa kutaka kumwondolea kiti unaendelea kumwandama baada ya ule wa tume ya Pinda ya kuyachunguza matokeo kushindwa.
  4. K

    Leo Jaji yupo likizo, kesho ni DPP kabla ya daktari...!!!

    Ndg Makala Jr, hakika unayoyaona leo yalikwishakuwepo kwa muda mrefu bila kukemewa. Leo unampeleka mgonjwa mahututi kwa daktari, daktari anapita na kuelekea kwenye vibanda vya soda. Maofisini watu km DEO's, REO's, DED's RAS's na wengine wengine wengi wanafika na kusign,ikifika saa 4 ofisin...
  5. K

    JUNI MOSI:Wamasai wa Ngorongoro kutikisa nchi

    Ndg unapanswa kutambua kuwa Tz na vyote vilivyopo n vyetu na vizaz vijavyo vya watz. Miaka hyo wakat wanaruhusiwa kulima kando ya hifadhi idad yao ilikuwa ndogo sn na ivo hawakuathiri kitu. Wakat huo walikuwa na mifugo mingi ivo hawakuwasumbua wanyama. Leo wamasai wa ngorongoro n wengi na...
  6. K

    Kiongozi mkubwa anapokuwa mnafiki kwa kuwatetea wananchi bila kuonesha njia.

    Hivi kauli za waziri mkuu wetu mstaafu(mzee wa nywele nyeupe)za kutamka ktk vyombo vya habar hususan magazeti kuwa ukosefu wa ajira kwa vijana ni bomu linalosubiriwa kupasuka muda wowote bila kutoa suluhisho kwa tatizo lenyewe siyo uchochezi? Mkuu huyu anajua fika kuwa hili tatizo limekuwepo...
  7. K

    Kilio,manung'uniko ya walimu na anguko la elimu!!

    Ukweli uliopo n kuwa hali za hawa watu ni mbaya ktk kila nyanja(aspect). Walimu wana makaz duni, wanapata mlo duni n.k. Mwl anayenza kaz wa ngaz ya cheti anapewa wastan wa elfu 7 kwa siku na kwa hapo atatakiwa kulipa kodi ya nyumba ya km elf 40 kwa mwezi. Alipe gharama nyingine km maji na umeme...
  8. K

    Walimu waliokoe Taifa letu

    Ualimu ni kada moja ambayo ikitumiwa vizuri itaweza ama kulinusuru taifa au kuliangamiza kabisa. Watu wa kada hii(walimu) wapo karibu sn na jamii kubwa ya wananch ambapo kwa kiasi kikubwa huwa wanaaminiwa kwao. Rai yangu kwa walimu ni kuwa wafanye kaz yao ipasavyo ikiwa ni pamoja na kuufunua...
  9. K

    Waheshimiwa wabunge tusaidieni walimu

    Bado sio suluhisho. Taifa halijali kufeli kwa wanafunz wake, itawapeleka advance hata wenye zero na kamshahara ka walimu katabaki palepale. Hivo kuacha kufundisha haitoshi, unganeni, pazeni sauti zenu ili ijulikane kuwa ikifika tarehe 5 mnakuwa mshamaliza tuhela mnavyopata.
  10. K

    CHADEMA kufa kabla ya 2015: Madhara ya 'Oil chafu' na kuamini ktk watu

    Kwa mtu mzima anayejua kusoma na kuandika then ukatuletea habari inayoonekana kuwa hukufikiri kabla ya kuandika,nashindwa kukupa jina. Hivi kauli ya makwaia kusema "chama sio mahali pa kukusanyika kwa majini kwa ajili ya kujikusanyia na kujilimbikizia mali". Kwa akili ya darasa la kwanza tu...
  11. K

    Waheshimiwa wabunge tusaidieni walimu

    Ulishaambiwa na hawa ndugu zako kuwa kama unauona ualimu haukufai we jiondokee, na pia ulishaambiwa na mzee mkubwa kuwa hata usipompa kura yako hakuongezei mshahara ng'oo! Walimu wameshindwa kujua jinsi ya kudai haki yao. Watakapojua namna ya kudai wataongezewa. Acheni lawama,unganeni kuidai...
  12. K

    CCM na Serikali yake yakimbia kivuli chake

    Ni kwel wamefanya vile ila ni kwa nin tuliona waz kuwa hawa ndg zetu hawatutakii mema ila tukafumba macho na kuwachagua? Km yametokea haya ni lazima watz wajue chanzo n nin,wakishajua chanzo wachukue hatua sahihi. Tumchague kiongozi atakayeipenda Tanzania na atakayewafanya watanzania waipende Tz
  13. K

    Nisaidieni neno kustaafu na kujiuzulu ina maana gani?

    Huyu ni waziri mkuu aliyestaafishwa kwa maslah ya kukilinda chama tawala. Hivyo tutamwita waziri mkuu aliyestaafishwa.
  14. K

    Msaada tafadhali

    Shukran frnd
  15. K

    Msaada tafadhali

    Naombeni list ya marais waliowahi kushika hatamu Zanzibar tokea uhuru
Back
Top Bottom