Toka kwa mama yangu Heriety Chumira, Habarini za asubuhi wapendwa wangu? Huyu kaka anaitwa Zuberi Auli Zuberi, binti yangu jana jioni saa 12 alirequest bolt kutoka Yombo kwenda Kinyerezi, unaporequest inatokea picha na namba ya dereva kwa bahati nzuri binti yangu alimfananisha dereva na kaka wa...