Dar: Jeshi la Polisi linawashikilia watu 92 kwa tuhuma mbalimbali za kihalifu

JESHI LINAMSHIKILIA PIA MTUHUMIWA AITWAYE

RENATUS GREGORY MUABHI MIAKA 53, MKAZI WA UBUNGO, KWA TUHUMA ZA KIJIFANYA AFISA WA USALAMA WA TAIFA KWA LENGO LA KUJIPATIA FEDHA KWA NJIA YA

UDANGANYIFU (KUTAPELI) MAENEO MBALIMBALI ZIKIWEMO OFISI ZA SERIKALI

Huyu si aliwahi kugombea urais enzi za Kikwete?

Renatus Muabhi. Kumbe tapeli

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Tunaomba ututajie majina yao ili tuone kama na wale vijana wa Kariakoo,waloripotiwa kupotea wamo kwenye hiyo oridha.
 
Back
Top Bottom