Recent content by kunyala

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutokua na wivu

    Wajameni hii imekaaje mtu ana mke na anakua na kamchepuko bt hana wivu na mchepuko kabisa anamruhusu kuwa na mpenzi wake bt anataka amjue na awe mmoja tu.Je hapo kuna mapenzi kweli
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kufukuza paka nyumbani?

    Daah sumu sijui coz paka huwa wakila sumu wanajitapisha ngoja tujaribu ikishindikana ni gobore tu.Asante mdau.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kufukuza paka nyumbani?

    Wadau naomba msaada, Njia gani rahisi ya kufukuza paka ktk nyumba ninayoishi. Nilikuwa na paka mmoja jike sasa amezaa watoto wawili wa kiume ila tangu wakiwa wadogo hawakamatiki kwani ukitaka kuwakamata wanakimbilia kwenye nyumba ya jirani isiyoishi watu then baadae wanarudi. Kwa kweli...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Pesa na maisha ya furaha.

    Wadau nawasalimu wote,Ndio tunakaribia mwisho wa mwaka 2013.kuna waliotimiza ndoto zao na wengine bado wanapambana cha msingi ni kuto kukata tamaa. Langu leo ni swala la maisha ya furaha na pesa.wengi wetu tunajua kuwa kuwa na pesa za kutosha ndio chanzo cha furaha ktk familia lakini...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuku wa kisasa.

    kwa wataalamu au yeyote mwenye uelewa juu ya madhara ya kula nyama ya kuku wa kisasa Naomba kujua kipi ni kibaya zaidi.Nyama.Ngozi ya juu.Mifupa au Nyama za ndani.(figo.maini na firigisi.)
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto acheza juu ya meza ya Papa Francis I ona hiyo utapenda

    Kwa kweli tukio likilo tokea ni la kihistoria na huyu kijana kama ataongozwa kidini anaweza kuja kuwa papa au kiongozi mkubwa tu wa kidini.coz tayari ameshakalia kitu cha mkubwa.Huo ni ufunuo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dhahabu.

    Tafadhalini wakuu naomba yeyote mwenye utaalamu wa biashara hii Tanzania anipe mwongozo.nataka niijaribu kwa ujasiriamali.Kule shinyanga inatikana vp na nani ni wanunuzi wakubwa na inachukuliwa ikiwa katika hali gani.Namaliza na shukrani.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tution kwa watoto wa chekechea

    kamanda yaani hizi fursa sasa tunazitumia vibaya.mtoto anachoka si mchezo hata kukua anakuwa kwa tabu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tution kwa watoto wa chekechea

    kumekuwa na tabia za walimu kunganganiza watoto wadogo wa chekechea kubaki shule na kusoma tution.jamani hii me naona ni tamaa ya walimu kupata hela za ziada na kuendelea kushusha elimu.mtoto ana miaka 3 hadi 6 anaenda shule saa 2 anatoka saa kumi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wazee wa zamani na utajiri wao

    The dealer b4 mwinyi vijana hao wazamani walikuwa fresh ebu jaribu kuangalia matajiri wa tanzania now umri wao na fedha walizo nazo je ni kwamba wamezipata kwa kipindi hicho cha mwinyi kweli na je kipindi hicho walikuwa na umri gani linganisha na vijana wengi wa sasa na hali zao.jaribu kuangalia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni wizi au kawaida kampuni za simu za mikononi

    Hilo la smart phone naanza kuelewa bt si nina mb kiongozi na nakatwa b4 hizo mb kwisha.au program nyingine haziusiki kwenye mb za kujiunga.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni wizi au kawaida kampuni za simu za mikononi

    Wadau naomba kuuliza hivi huu ni wizi au kawaida.unajiunga kwenye hizo huduma zao labda siku.wiki au mwezi.lakini bado kuna makato yasiyo ya msingi.Mfano unajiunga airel kwa siku unakatwa 499.unapewa dk.mb na sms.kama simu ilikuwa na salio la 700 au zaidi watatoa hiyo 499.then utaona salio sawa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wazee wa zamani na utajiri wao

    Naikumbuka hiyo mfamaji.bt hao masharo pia kuna ambao wako vizuri.me napata wasiwasi kama dereva tu wa gari la shule au anamwendesha bosi flan life lake lilikuwa la hali ya juu.lakini sasa afisa wa serikali maisha yake ya kusuasua.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wazee wa zamani na utajiri wao

    Wadau najaribu kuangalia maisha yanavyokwenda naona hali si hali.lakini najiuliza hawa wazee wetu waliwezaje kufanya mambo ambayo sisi vijana naona yanatushinda hasa walikuwa waajiriwa wa serikali. Mameneja wa bank,walimu wakuu,madereva,wafanyakazi na mameneja wa taasisi nyingi za umma...
  15. K

    JamiiForums Tanzania ndoto kwa wazazi waliofariki.

    ni ndoto za kawaida tu kiongozi.naota kama nipo nao na tunaendelea na maisha tu.ili la dua na misa nadhani ni muhimu nawashukuru sana wadau.
Back
Top Bottom