Hakika CCM wilayani Urambo aliondoka nayo hayati Samuel J Sitta, na kilichobaki ni kutapatapa tu, ndo mana unatumika ubabe mwingi kulazimisha matokeo,
Katika mwendelezo wa kampeni za kuwania kiti cha udiwani kata ya Muungano wilaya Urambo, Hali si shwari upande CCM hii imepelekea waanze...