Recent content by KuniMbichi

  1. KuniMbichi

    Wakazi wa maji chumvi walia na uchimbaji haramu wa mchanga unaotishia kuangusha nyumba zao

    Huko kuchimba mchanga kawaida tangu kitambo ila sasa hivi watu wamekua wengi sana
  2. KuniMbichi

    Urasimu, uzembe vinaongoza kukwamisha miradi mbalimbali ya Serikali

    Yule aliejenga choo pale sehemu fulani karibu na kituo cha usafiri ambae ameruhusu abiria wajisaidie bure Mungu amuongezee sana, nilifika nikaambiwa hapa vipo vyoo vya kulipia ila ipo sehemu moja hapo kujisaidia haja zote ni bure na kuoga ni bure
  3. KuniMbichi

    Hivi TBC ina kazi gani

    Hii si ya juzi hapo?
Back
Top Bottom