Ni wakati wa kupeleka mapendekezo Serikalini ili hii sheria ifanyiwe Marekebisho,haiwezekani unakuta kwenye Shamba lako kitu chochote kile halafu ww mmiliki wa Shamba hupati hata Sumni hio haipo sawa.Serikali kupitia Wizara ya Madini kutunga Sheria ili watu wenye Mashamba nao wafaidike kupitia...
Namuunga mkono Dr mwinyi kwa maamuzi yake,lile eneo linaharibu taswira ya Zanzibar kwa kuwa ile ndio View ya Wanzanzibar ila imekaa kilocal sana.Wakati umefika sasa wa kubadilisha matumizi ya eneo lile na ikiwezekana kijengwe kitu kimoja kikali sana ili muonekano wa Zanzibar ubadilike,heko Dr...
Kama wewe ni Muislam basi jitahidi sana swala za jamaa zisikupite na ikiwa mtu wakutoka asubuhi kurudi jioni bc jitahidi swala ya asubuhi na ishai jamaa.hapo utawajua watu wote na pia utajenga nao ukaribu.
Tutafuteni tiba ya hili tatizo kwa kuwa likiachwa litazidi kuwa kubwa na mwisho jamii itachukulia ni kawaida tu,tufanyeni nini tuliondoe hili tatizo?jiangalie ww na jamii yako inayokuzunguka!kama sio ww basi atafanyiwa mwanao na kama sio mwanao atafanyiwa dada yako na kama sio dada yako bc...
Mkuu pole sana ila hayo yote naona una dalili za sukar,kabla hujafikiria kutumia hio midawa ya kisasa nakushauri kwanza kaangalie level ya sukari yako.kila ugonjwa una dawa isipokuwa vitu 2.uzee na umauti ila vingine vyote vinatibika
Hio ni gharama ya ekar 1.ila uzuri wake una uhakika wa kila msimu kama shamba utalihudumia vizuri ikawa ni kitega uchumi cha kutosha kabisa.vijana tuwekeze pia ktk kilimo.kilimo kinalipa hususani hilo zao la parachichi
Tunaweza mbona ni rahisi tu.hebu fikiria ikiwa tunatoa bomba la mafuta kutoka Tanga mpaka Uganda tutashindwa kuweka mabomba makubwa tu kutoka Tanga mpaka Dodoma?Halafu tukachimba mitaro mikubwa ya kama ile ya mfereji wa suez huko misri.la muhimu pasiwe na mahitaji ya muhimu kabisa ndio uamue...
Usitoke jasho la kwapa nafasi bdo zipo za kuwa na hisa ndani ya club.Muhindi ama 49 na club ina 51.club inao uwezo wa kukuuzia hisa na ww ili mlete ushindani ktk club.Sisi tinahitaji maendeleo ya Club na heshima ktk soka la Africa na dunia kwa ujumla.kazi kwako kama kidume kachukue hisa na ww...
Sio kweli hayo ni maneno ya mtaani tu.mm mbona nimenunua kiwanja na nimeanza kujenga huko, walitaka document nikawapa cheti changu cha kuzaliwa pamoja na Id ya taifa.Naimani kama ww sio Mtanzania bc lazima ukataliwe
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.