Habari wadau.
Nina ndoto za kuishi Zanzibar nikistaafu. Nimetaka ninunue kiwanja mapema nianze ujenzi.
Nimeambiwa mtu wa Bara hurusiwi kununua kiwanja Zanzibar sababu wewe sio raia wa Zanzibar
Je, hii ni kweli? Kama ni kweli kwa nini wao Wazanzibar wanaruhusiwa kununua viwanja na kujenga huku Tanganyika a.k.a Tanzania Bara huku na wao sio raia wa Tanganyika?