Recent content by KUNGUNIMSOMI

  1. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto kwa madaktari tarajali Hospital ya Rufaa ya Amana

    Ndio maana kwa mambo hayo ilipelekea kifo cha mdogo wangu 2021, unafikisha mgonjwa emergency akuna anayejali...
  2. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mishahara-TAWA

    Posho zipo ...sema sio package kama TCRA au TCAA...Hakuna extra duty itapiga kazi kama kichaa appreciation zero..ila ikipangwa HQ Kule utaenjoy ..wao ndio wanakulaa maisha,uwezi ona mtu wa HQ akipanda staff...wote Ndinga kali...
  3. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mishahara-TAWA

    Ha ..ha...au tajiri yoyote apite aache pesa,ila HQ wanaenjoy sana safari nyingi sana.upande wa JNIA ndio njaa..mtu ana miaka 15 hajawahi kusafiri ata kutoka nje ya mkoa..safari ni za kujuana sana .
  4. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mishahara-TAWA

    Kabisaa TAA ni njaa..TCAA Kule hakuna kelele wanakula vinono
  5. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu na shukrani kwa ushirikiano

    Hongera sana Mweshimiwa, hakika kazi yako imeonekana
  6. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania EXTRAVAGANZA Safari's za treni ya SGR reli ya kati

    Bro unataka vijana wakose kazi !?? Acha tabia za kishamba...iyo SGR inaendeshwa kisasa ili kuwe na uhakiki wa abiria ni lazima kuwe na ukaguzi kila hatua...punguza wivu kwa vijana wenzako.
  7. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wengi wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere wanailetea picha mbovu Tanzania kwa kusoka weledi wa kazi

    Unaweza kutofautisha TAA -JNIA na wafanyakazi wa JNIA!? JNIA inawafanya kazi wa taasisi mbalimbali kuna kila idara polisi,uhamiaji,TIS,TFS, GHAs kama swissport,NAS, maduka ,restaurant,porter, wakandarasi ya kuna zaidi ya wafanyakazi wa idara mbali mbali kama 500k +, naona watu wengi wamebase kwa...
  8. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Tuchambue kwa upana Part 1 ya interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo

    Baada ya kupata 4 olevel alirudia mtiani then akasoma QT (4&5 mwaka mmoja) then akaingia chuo.
  9. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Tena shift ni day ,night ,easy ,off, upande wa security wana support..yaani anaweza kuingia day night then akasupport
  10. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Hussein Bashe amepiga pesa za BBT! Huu ni ufisadi mkubwa sana 'na kwakuwa Rais hana muda na mafisadi acha wajipigie mipesa ya bure

    Bila picha na ushaidi usio na shaka ,habari yako haina mashiko.
  11. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Mabroo wa miaka 40+ tupeni ushauri namna ya kuukimbia umaskini,vijana mnaojitafuta pitienj huku!

    Kaa mbali na makahaba ×1000 ,usimuonee kila mtu huruma ,nidhamu ya pesa,Amini MUNGU husiamini Dini na Viongozi wa dini.
  12. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Pongezi, Petro Magoti kwa kutatua migogoro ya ardhi Kisarawe

    Katika kuendelea na juhudi za kutatua migogoro ya ardhi, Mkuu wa Wilaya, Petro Magoti, amekuwa akifanya mikutano ya mara kwa mara na jamii, ambapo anawapa fursa wananchi kutoa maoni yao kuhusu masuala ya ardhi. Mikutano hii inasaidia kujenga uelewa wa pamoja na kuimarisha ushirikiano kati ya...
  13. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Inatumia Parastatal Salary Scales (e.g., TAA, TAAS) TAA-3or TAAS-3: Entry level kwa degree, with salaries ranging from TZS 1,500,000 per month. Higher levels (e.g., TAA-5): Senior or managerial positions, with salaries of TZS 2,000,000 – 5,000,000+ per month.
  14. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Nimedaganywa kivipi!? nipe ukweli unaojua wewe
Back
Top Bottom