Recent content by Kundelungu

  1. K

    Gazeti la Afrika Kusini lamchambua Magufuli: Kutoka kiongozi mwenye maono hadi dikteta

    Nimeipenda hoja yako. Alisema vita hii ya raslimali si lelemama. "MAJIZI" yote yatatumia mbinu nyingi zikiwemo za media kuhubiri mabaya. Sio kazi ya SA kujua tunayotaka sie.
  2. K

    Hii ndio sababu Rais Magufuli anafanya jitihada za kuunganisha barabara nchini

    Kuna wakati pia Kikwete alifungua barabara ambazo zilianza kipindi cha Mkapa. Sioni ubaya
  3. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Niliona post za muda mrefu sana nikataka kujua wenzangu vp? Mie nipo. Vp kuna jipya au fununu ya kupata kocha mpya?
  4. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Niliona post za muda mrefu sana nikataka kujua wenzangu vp? Mie nipo. Vp kuna jipya au fununu ya kupata kocha mpya?
  5. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Gunners mmejificha wapi?
  6. K

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Amepigana sana kuhitaji ubunge. Sitaki kuamini kama kifo chakeni cha kisiasa.
  7. K

    Viongozi wa CHADEMA Bunda, wasimamishwa na kuondolewa kwenye madaraka

    Nijuacho wamejiuzulu/wamejitoa katika nafasi zao. Isipokuwa kwa vile "Wao" huwa wanajiamini ni watu safi waka-back date barua wakasema wamewafukuza. Iweje fujo zifanyike juzi wao wafukuzwe kabla ya juzi? Trh 18 ndio kumetokea sintofahamu alafu "wao" wanajidai eti wamewafukuza toka tarehe 15...
  8. K

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Ni kweli Jasnira tunakoelekea anajua Mungu. Hii "biashara" kumbe imeanza kitambo!!
  9. K

    Viongozi wa CHADEMA Bunda, wasimamishwa na kuondolewa kwenye madaraka

    CHADEMA makao makuu ndio wanavuruga. Wao wanaiamulia sana Bunda badala ya kuwaacha wana Bunda wajipangie mambo yao. Hapo sasa wao kwa kuwatimua wajumbe hao wa jimbo na kurudisha jina la Ester kama mgombea hawaoni watasababisha sasa Wasira aje ashinde kirahisi? Makao makuu na Mkoa pia watambue...
  10. K

    Viongozi wa CHADEMA Bunda, wasimamishwa na kuondolewa kwenye madaraka

    Mh! Hii yote inasababishwa na ujio wa Ester Bulaya. Kama wao wanawatimua wajumbe kwa kurudisha jina la pili badala ya yule aliyeshinda hawajiulizi kea nini CHADEMA makao makuu wamerudisha jina la Ester na wakati hakushinda? Ukitafakari unaona ni Ester ndiye kaja kuvuruga hali ya CHADEMA Bunda...
  11. K

    Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    Anashtakiwa kwa kosa lipi kisheria? Nisaidie kujua.
  12. K

    Sakata la Tegeta Escrow: Mengi awavaa Masele, Wassira na Maswi

    Anazungumzwa Masele, Wassira na Maswi. Hii ya Muhongo imefikaje hapa?! Sijaelewa.
Back
Top Bottom