Mimi nimesoma kwa Ras simba Mwaka 2015 ,alinitoa kwenye Giza Nene .Ras simba anafundisha mfumo wa man tu man,anawalimu wengi kila mwanafunzi anakuwa na mwalimu wake kwa kila unit,ukitaka kwenda unit nyingine lazima upass mtiani,walimu wake Wana uvumilivu wa hari ya huu sana wanaweza kukufundisha...