Recent content by kumusoma

  1. K

    inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

    Huyu Nyani Ngabu ni nyani kweli!!Hana Msaada kwa Taifa
  2. K

    Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

    Mbona Lissu alifafanua vyema kufanya uhaini ni nini kwa mjibu wa katiba ya URT:
  3. K

    Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

    Hilo shitaka sio uhaini.
  4. K

    Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

    Yaan inasikitisha sana kuona Katuga hajui hicho kifungu cha character na yeye ni Wakili mkuu:Tunakwenda wapi Kama nchi.Kuwa na vilaza mpaka mahakamani.
  5. K

    Mahakama inalalamikiwa kukosa kutenda haki kesi ya Lisu

    Yaan ww una shida sana!!Pole sana!!Inaonekana Kama sio chawa wa kububujikwa machozi basi na ww upo bungeni ki familia!Lakin sisi tuna philosophy kuwa kila mwanza mwisho pia upo:Ila unateseka kutetea uôngo!!Au una matatizo ya akili!!!
  6. K

    Umahiri na weledi wa kisheria wa wakili Nassoro Katuga ni wa kiwango cha juu mno mahakamani, hacheki na mtu, hahitaji ushabiki, wala hana mzaha

    Ww ni kipofu mwenzake !!Wakili gani hajui hata kutamka maneno ya kiingereza?Wakili gani hawezi kuweka reference ya kesi?
  7. K

    GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

    Lucas inawezekana ni mgonjwa wa akili.
  8. K

    GE2025 Sababu za wanaompinga Dkt. Samia

    Namba ya simu ya nini?Au kwa kuwa unajua mama wa watu akisifiwa tu anakupa chèo:Kama Kitila Mkumbo alisifia kuhusu bandari kupewa waarabu akapewa uwaziri.
  9. K

    Humphrey Polepole anatamba kwamba analindwa, cha ajabu anaongea akiwa kajificha

    Achana kabisa na Polepole ile ni level nyingine kabisa:Ww endelea na kipaji chako cha uchawa mlichobalikiwa na mwenzako mmoja anayebubujikwq na màchozi:Polepole na nyie ni Mbingu na ardhi aiseee!!Achana nae kabisa!!
  10. K

    Mama ni kisiki cha Msingi. Kila aliyejaribu ameanguka. Twasubiria uwanjani msikimbize timu

    Yaan ww ni miongoni mwa wale Lowasa alisema .Elimu!!Elimu!Elimu:Yaan unashabigia lakini kichwani upo empty!!Pole sana!!
  11. K

    Watanzania wenzangu hebu tujitathimini hivi Karne ya sasa ni yakushangaa nyumba ya mtu tena kwa mtu mzima? Hii ni aibu!

    What is Nyumba bhana?Kaangalie za Mabutu was Congo au Zaire !!Kikubwa hekima na busura tu !!Hivyo vita Bâji milele!!
  12. K

    POLITICAL BATTLE MAP: POLEPOLE vs Samia, wanamtandao na wahuni.

    !Hata ww uliyesomea literature pia ni mchambuzi wa siasa?Acha kutudanganya ndugu!
  13. K

    Tukiwaambia kuwa enzi za Magufuli na Polepole nchi ilikuwa totally crazy muwe waelewa. Haya hiki ni nini?

    Kwa hiyo Samia hakuwepo wakati wa utawala wa Magufuli?Hapo ndio utaona watanzania wengi wanapenda unafiki Kama ww!!Yule aliyekuwa anasema hata msipopigia CCM tunashinda ni Nani?
Back
Top Bottom