Recent content by Kumi_na_saba_7_1987

  1. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu

    habari iliyokamilika inapunguza maswali. tunahitaji updates
  2. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Utawala wangu sitaki kulimbikizia watu vyeo. Mbunge hawezi kuwa RC au DC

    Acha kutudanganya Eng. stella Manyanya hakuwai kuwa mkuu wa mkoa wa mwanza but rukwa
  3. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania Mtumiaji wa mwisho siku zote ndio mlipa kodi

    Hapo sasa
  4. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania Habari leo: Mbowe, Makonda waongea, na mifugo ikatwe kodi!

    Mwalimu Nyerere alisema habari tunazitaka lakini siyo kila habari tutaitaka, kutokana na lugha yake iliyotumika "Habari ni lazima iandikwe kwa lugha yenye staha" sasa wao wanatuandikia bila kujali staha. Taaluma inaporuhusu maadili yasiyo kubalika nia mwanzo wa vurugu.
  5. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania Habari leo: Mbowe, Makonda waongea, na mifugo ikatwe kodi!

    I do not know when we will change. if somebody is working hard we call him "Mr Misifa" and when he is not working we call him "lazy" or any other bad name.
  6. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapiga marufuku Mameya kuhudhuria mikutano ya viongozi

    Siku kadhaa nyuma nilisoma post katika mojawapo ya thread jibu lililotolewa na meya kwanini hakuhudhuria kwenye viwanja vya biafra. Nanukuhu "sikuhudhuria kwa kuwa sikupata taaarifa ya mimi kuhudhuria bali nichague madiwani watano wa kuhudhuria........ hata hivyo ilikuwa jumamosi ya mwisho wa...
  7. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika ampa onyo kali Anatropia Theonest kwa kumvua baraghashia Goodluck Mlinga

    Kanuni ya tano ya bunge inayoongelea mamlaka ya spika kifungu kidogo cha kwanza (1) Nanukuuu "Katika kutekekeleza majukumu yake yaliyotajwa katika ibara ya 84 ya katiba; Spika ataongozwa na kanuni hizi na pale ambapo kanuni hazikutoa muongozo, bas spika atafanya kazi kwa kuzingatia katiba...
  8. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya asitisha zoezi la utoaji chakula Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Sioni hata pa kuingilia kuchangia mada hii. Chakula kikiandaliwa hospitali! wagonjwa wanaolazwa daraja la tatu wataweza kugharimia 1 kumuona daktari? 2 gharama ya dawa na baadhi ya vifaa tiba? 3 kitanda + Chakula?. Na hicho chakula kitaamasisha wagonjwa kula? Bila shaka hapa ataingia mdhabuni...
  9. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashangazwa na Mstahiki Meya wa Kinondoni Boniface Jacob kutohudhuria Biafra

    Labda meya hausiki na hayo; yeye siyo sehemeu ya usalama wa manispaa. nitafuatilia nijue :oops:
  10. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Mwanza: Msajili acha kuwa msemaji wa Rais

    Someni kwanza katiba za kila chama ndio mje kuchangia mada maana wote mnajaza ushabiki tu. ili pawepo na demokrasia ni lazima tutazame kitu kilekile kwa macho tofauti (mtazamo) lakini pia bongo tofauti zitoe tafsiri tofauti. Mfano "l" wapo watakasema ni L ndogo, wapo watakaosema ni I kubwa na...
  11. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania Mbowe, kwanini usifanye maamuzi kama ya David Cameron, wananchi hawakuelewi

    Nionavyo mimi hawezi kubali cjui labda ......
  12. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamjibu Magufuli kuhusu kutofanya siasa, wasema wataendelea kwa kuwa katiba inawaruhusu

    Bajeti fake/mbovu hizi zote ni hypothesis kama ni kweli tutakuja kujua ikianza kutkelezwa. Tunapanga -> tunatekeleza-> tunatathmini kilichopangwa na kutekelezwa. Kwa ufupi ni mapema kutoa hitimisho hilo hapo "Bajeti mbovu/ fake"
  13. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamjibu Magufuli kuhusu kutofanya siasa, wasema wataendelea kwa kuwa katiba inawaruhusu

    huo ni mtazamo wake lakini sisi tujue vyanzo vya habari na vinafikishaje taarifa sahihi/sio sahihi. au labda kuna watu wanatafuta kuonekana wanafanya kazi kumbe hawafanyi kazi.
  14. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna soko la Uranium Tanzania?

    Hakuna soko la uranium Tanzania. zipo sehemu zenye madin ya uranium hapa nchini mf. Wilaya ya Namtumbo ndani ya hifadhi ya selou.
  15. Kumi_na_saba_7_1987

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamjibu Magufuli kuhusu kutofanya siasa, wasema wataendelea kwa kuwa katiba inawaruhusu

    Hatukatai kuropoka (kuongea) lakini kama anavyo vyanzo vya uropokaji (kuongea) ni vyema tukavitazama hivyo maana inwezekana shida ndiko inakoanzia. Ni nani anayempa taarifa? namna gani anatumia kumpa taarifa? nk.
Back
Top Bottom