Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu

Nawashangaa sana watu wanaokubali teuzi za serikali hii!

Manyanyaso na masimango kibao kama vile nchi hii ni mali yao na wana hati miliki!
Hata mi nawashangaa sana ka yule wa ikulu hadi huruma, wanajitaftia pressure za bure mana viongozi wa sasa wapenda kiki SAA yoyote kutumbuliwa
 
Labda kakuta wilaya ina mahuza huza kibao zaid ya yale ya moro vijijin kama alikuwa ana lala usingiz wake mnono sasa anaona ataanza kula macho huku akiogopa tenguliwa
 
Hahahaa
Wanalikoroga
Nacheka kwa dharauuuuu
Bado mawaZiri kujiondoa wenyew abaki mwenyewe kama maurinho kinachofata kufutwa kazi na wananchi
 
cheo ni dhamana ukiona kinakuzidi uwezo si vibaya ukakubali tuu kutundika daluga ukakaa pembeni mapema................wanaosema humu serikali inawaendesha kimanyanyaso,ndo hawahawa kesho wanakuwa wakwanza kuiponda serikali watumishi wakiharibu kazi....
"tatizo tunaleta usiasa wakati tunajenga wote nchi moja"
 
Mkuu wa Wilaya (DC) Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiondoa katika nafasi hiyo ya U-DC.

Badala yake, DC aliyekuwa Kongwa, John Ernest Palingo anakwenda kuwa DC Mbozi, na Kongwa itasubiri uteuzi mpya.

Stay tuned..
Mbozi una majembe ya cdm siyo ndiyo ndiyo hivyo kasoma alama za nyakati
 
Back
Top Bottom