Hivi kuna soko la Uranium Tanzania?


Secret Star

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Messages
1,446
Likes
887
Points
280
Secret Star

Secret Star

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2011
1,446 887 280
Salam wanajamvi..

Samahani nilikuwa nataka kujua jambo fulani, hivi kuna soki lolote la Uranium hapa Tanzania?
 
F

filonos

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Messages
651
Likes
70
Points
45
F

filonos

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2011
651 70 45
KESI HIYO TENA YA MAUJI......
 
amaizing

amaizing

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Messages
3,559
Likes
11,906
Points
280
amaizing

amaizing

JF-Expert Member
Joined May 3, 2013
3,559 11,906 280
Ndugu sina uhakika kama soko lipo

Ila Kuna ndugu alijihusisha na biashara hizo na alichoambuliwa ni kutapeliwa nyumba

Kuwa makini, matapeli ni wengi sanaaaa
 
Kumi_na_saba_7_1987

Kumi_na_saba_7_1987

Member
Joined
Jun 9, 2016
Messages
21
Likes
7
Points
5
Kumi_na_saba_7_1987

Kumi_na_saba_7_1987

Member
Joined Jun 9, 2016
21 7 5
Hakuna soko la uranium Tanzania. zipo sehemu zenye madin ya uranium hapa nchini mf. Wilaya ya Namtumbo ndani ya hifadhi ya selou.
 
Bravo320

Bravo320

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Messages
357
Likes
196
Points
60
Bravo320

Bravo320

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2015
357 196 60
Uranium huwezi uza kama unavyofikiria ile ni biashara kati ya nchi moja na nyingine, unaweza kua nayo lakini tatizo ni kuiuza, kwani inahusisha mikataba ya nchi kwa nchi, na biashara hiyo ipo controlled na shirika la Atomic la dunia, pia kumbuka Uranium hutengeneza silaha za Atomic, na huwa ina toa mionzi ambayo kila ubalozi hasa balozi za nchi za magharibi huwa unavifaa maalum vya ku ditect mionzi hiyo, hivyo ni kusema kama umebeba madini ya Uranium hata ungeyafunga vipi, huwezi kutoka posta hadi mwenge bila kukamatwa, Usijaribu biashara hiyo...
 

Forum statistics

Threads 1,235,270
Members 474,471
Posts 29,216,344