BAVICHA Mwanza: Msajili acha kuwa msemaji wa Rais

BAVICHA waanze kwanza kupigania Demokrasia ndan ya Chama chao ndio waje Taifani.
Mbowe kaanza kuwa Mwenyekiti wa Chadema wakati huo Jakaya Kikwete akiwa Waziri wa Mambo ya nje wakati wa Utawala wa Benjamin Mkapa mpaka leo Jakaya ni Rais Mstaafu lakin bado mwenyekiti wao anawalazimisha Wabunge kuvaa Makaratasi midomoni wakiwa bungeni yeye akiwa Dar kwenye ishu zake

mbowe kweli mwanaume kwa ccm,hivi kuna siku inapita bila wana ccm wote nchi nzima kumuwaza mbowe usiku na mchana kweli?
 
Baki kwenye Mada huku ukijua kuwa Ukijitokeza kumpinga Mbowe huishia kuitwa msaliti. Zitto na Slaa wanalijua.
Naona hii hoja ya bavicha ni ngumu sana kwako kwenye uwelewa basi eleza tu kukabidhiana vijiti mwisho lini
 
Makaratasi wamevaa wao, imekuathiri nini?
Demokrasia ya ndani ni makubaliano yao, inakuhusu nini?
Lakini demokrasia ya nchi inatuhusu sote, kila mtu lazima aizungumzie.
Sorry, nilisahau...nilidhani unao uwezo wa kupambanua mambo haya, nilisahau.
Eti Great thinker anadhani Demokrasia ndan ya Chadema haihusu wasio chadema. Rudi darasani kafundishwe sheria ya kuanzisha vyama vingi 1992. CCM itatawala muda mrefu kwa kuwa "Bangi na Viroba vya Chadema" kwa kifupi (Bavicha) hawajielewi kabisaa wanadhani chama cha siasa ni kama suala la kifamilia
 
hivi c nayeye aliteuliwa na rais wa ccm? huyu msajili.lazima atetee maslahi ya chama chake.ila najua2 mwishon yote haya yataisha na upinzani utaongoza dola
 
BARAZA LA VIJANA CHADEMA MKOA WA MWANZA LIMESHANGAZWA NA KAULI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI.

MH RAIS JPM,JANA ALINUKULIWA NA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI AKITAMKA KAULI TATA JUU YA UFANYAJI SIASA NCHINI.

KUFUATIA KAULI HIYO YA KUPIGA MARUFUKU SIASA HADI 2020,
MSAJILI AMEMTETEA NA KUWAMBIA WANANCHI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KUWA RAIS ALINUKULIWA VIBAYA.

KWA NIABA YA BARAZA LA VIJANA CHADEMA MKOA WA MWANZA BAVICHA......

TUNAMTAKA MSAJILI AACHE KAZI YA KUJIBU HOJA ZETU,WASEMAJI/MSEMAJI WA RAIS KAMA SIYO RAIS MWENYEWE AWACHIE KUJIBU MAANA NDOO WAJIBU WAO NA KAZI YAO KUU.

OFISI YA MSAJILI NI MLEZI WA VYAMA VYOTE NA ANGESAIDIA KAMA ANGEITAKA OFISI YA IKULU ITOE UFAFANUZI NA SIYO KUMSEMEA RÀIS.

KUNA BAADHI YA MAMBO YANAENDA KOMBO UKIWEMO UCHAGUZI MKUU ULIOLALAMIKIWA KUPITIA RAFU MBALIMBALI ZA CCM ........MSAJILI HAKUWAI KUSEMA CHOCHOTE.........

BARAZA LA VIJANA MKOA WA MWANZA LINALAANI VIKALI UTETEZI ULIOTOLEWA NA MSAJILI NCHINI NA TUNAMTAKA AFIKIEIE UPYA JAMBO HILO NAMNA YA KULISAHIHISHA...........NA AKIJISAHIHISHA AWAOMBE LADHI WATANZANIA KWA KUSAHAU MAJUKUMU YAKE AU VINGINEVYO.

Imetolewa na Joseph Michael
M/kiti BAVICHA Mkoa wa Mwanza
Msajili huwa hafanyi kazi na Magenge ya wanaharakati....haya yana forum zao na season zao.... fanyeni kazi tu!
 
Eti Great thinker anadhani Demokrasia ndan ya Chadema haihusu wasio chadema. Rudi darasani kafundishwe sheria ya kuanzisha vyama vingi 1992. CCM itatawala muda mrefu kwa kuwa "Bangi na Viroba vya Chadema" kwa kifupi (Bavicha) hawajielewi kabisaa wanadhani chama cha siasa ni kama suala la kifamilia
Katika hali ya kawaida ilitakiwa kuwa hivyo. Lakini kwa siasa zeni hali haiwezi kuwa hivyo kamwe maana mnaamini msemayo ni sahihi siku zote. hata mkubwa wenu anaamini hivyo pia maana isingekuwa hivyo angeruhusu mawazo mbadala. Siwezi kubishana na wewe unayetaka kila kitu kurudi darasani. Wengine haya mambo tunayajua na tumeyaishi, hatuna sababu ya kurudi darasani. Wewe bado mdogo, una mengi ya kujifunza...rudi wewe darasani.
 
BARAZA LA VIJANA CHADEMA MKOA WA MWANZA LIMESHANGAZWA NA KAULI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI.

MH RAIS JPM,JANA ALINUKULIWA NA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI AKITAMKA KAULI TATA JUU YA UFANYAJI SIASA NCHINI.

KUFUATIA KAULI HIYO YA KUPIGA MARUFUKU SIASA HADI 2020,
MSAJILI AMEMTETEA NA KUWAMBIA WANANCHI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KUWA RAIS ALINUKULIWA VIBAYA.

KWA NIABA YA BARAZA LA VIJANA CHADEMA MKOA WA MWANZA BAVICHA......

TUNAMTAKA MSAJILI AACHE KAZI YA KUJIBU HOJA ZETU,WASEMAJI/MSEMAJI WA RAIS KAMA SIYO RAIS MWENYEWE AWACHIE KUJIBU MAANA NDOO WAJIBU WAO NA KAZI YAO KUU.

OFISI YA MSAJILI NI MLEZI WA VYAMA VYOTE NA ANGESAIDIA KAMA ANGEITAKA OFISI YA IKULU ITOE UFAFANUZI NA SIYO KUMSEMEA RÀIS.

KUNA BAADHI YA MAMBO YANAENDA KOMBO UKIWEMO UCHAGUZI MKUU ULIOLALAMIKIWA KUPITIA RAFU MBALIMBALI ZA CCM ........MSAJILI HAKUWAI KUSEMA CHOCHOTE.........

BARAZA LA VIJANA MKOA WA MWANZA LINALAANI VIKALI UTETEZI ULIOTOLEWA NA MSAJILI NCHINI NA TUNAMTAKA AFIKIEIE UPYA JAMBO HILO NAMNA YA KULISAHIHISHA...........NA AKIJISAHIHISHA AWAOMBE LADHI WATANZANIA KWA KUSAHAU MAJUKUMU YAKE AU VINGINEVYO.

Imetolewa na Joseph Michael
M/kiti BAVICHA Mkoa wa Mwanza

msipokuwa makini mtajikuta mnamchukia kila mtu. mtabaki wapweke.
 
BAVICHA waanze kwanza kupigania Demokrasia ndan ya Chama chao ndio waje Taifani.
Mbowe kaanza kuwa Mwenyekiti wa Chadema wakati huo Jakaya Kikwete akiwa Waziri wa Mambo ya nje wakati wa Utawala wa Benjamin Mkapa mpaka leo Jakaya ni Rais Mstaafu lakin bado mwenyekiti wao anawalazimisha Wabunge kuvaa Makaratasi midomoni wakiwa bungeni yeye akiwa Dar kwenye ishu zake
Hahahaha mbavu sina
 
Someni kwanza katiba za kila chama ndio mje kuchangia mada maana wote mnajaza ushabiki tu. ili pawepo na demokrasia ni lazima tutazame kitu kilekile kwa macho tofauti (mtazamo) lakini pia bongo tofauti zitoe tafsiri tofauti. Mfano "l" wapo watakasema ni L ndogo, wapo watakaosema ni I kubwa na wapo watakasema ni 1.

kwa mitazamo yote ni sahihi kwani l inaweza ikatumika kama moja, L na I
 
jaji mutungi amejidhalilisha sana...
Jamani nyie nao sasa mnakera jamani.
Jana mitandao yooote ilikuwa inazungumzia kuwa Raisi kakataza siasa. Sasa yeye kawaambia kuwa hajakataza siasa ila alinukuliwa vibaya... Mie nilifikiri kuwa mtafurahia, kwa kuwa ile demokrasia mliokuwa mmesema kuwa imekatazwa kumbe haijakatazwa...( ruksa kufanya siasa )

Ila nyie sasa mnakuja kinyume na kumwambia kuwa aache kumsemea Rais. Duuuuh...
Kwahiyo nyie mlikuwa mnataka Rais mwenyewe aje aseme kuwa mlininukuhu vibaya?
Kumbuka kuwa Yule ni Rais, ana tittle kubwa na pia ana mihimili yake ya kutolea maelezo baadhi ya mambo, kama hayo ya vyama muhusika ni yeye... ( msajili/ mlezi wa vyama vya siasa )

Sasa kama yeye ni mlezi, na anaowalea wanasema wanaonewa kwa kukatazwa kusema jambo fulani, then yeye anakuja kutolea ufafanuzi kuwa hamjakatzwa, mnasema kwanini unatuambia wewe na sio aliyesema...

Nyie nao sasa mnakera... Kumbukeni siasa za matukio hizo hazina mashikooooooo.
Yaani hapo mlitegemee usitolewe ufafanuzi juu ya kauli ile, ili muendelee kulialia kuwa Rais amekataza mikutano au siasa...

Poleni, sasa mtafute jingine.... Maana hilo lishayeyuka tayari...
 
CHADEMA kila mtu kambale. Mwenyekiti matamko, Bavicha mwanza, Bavicha Mtwara, Bavicha Makete, Msigwa iringa, Bavicha Namtumbo ............................
 
BARAZA LA VIJANA CHADEMA MKOA WA MWANZA LIMESHANGAZWA NA KAULI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI.

MH RAIS JPM,JANA ALINUKULIWA NA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI AKITAMKA KAULI TATA JUU YA UFANYAJI SIASA NCHINI.

KUFUATIA KAULI HIYO YA KUPIGA MARUFUKU SIASA HADI 2020,
MSAJILI AMEMTETEA NA KUWAMBIA WANANCHI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KUWA RAIS ALINUKULIWA VIBAYA.

KWA NIABA YA BARAZA LA VIJANA CHADEMA MKOA WA MWANZA BAVICHA......

TUNAMTAKA MSAJILI AACHE KAZI YA KUJIBU HOJA ZETU,WASEMAJI/MSEMAJI WA RAIS KAMA SIYO RAIS MWENYEWE AWACHIE KUJIBU MAANA NDOO WAJIBU WAO NA KAZI YAO KUU.

OFISI YA MSAJILI NI MLEZI WA VYAMA VYOTE NA ANGESAIDIA KAMA ANGEITAKA OFISI YA IKULU ITOE UFAFANUZI NA SIYO KUMSEMEA RÀIS.

KUNA BAADHI YA MAMBO YANAENDA KOMBO UKIWEMO UCHAGUZI MKUU ULIOLALAMIKIWA KUPITIA RAFU MBALIMBALI ZA CCM ........MSAJILI HAKUWAI KUSEMA CHOCHOTE.........

BARAZA LA VIJANA MKOA WA MWANZA LINALAANI VIKALI UTETEZI ULIOTOLEWA NA MSAJILI NCHINI NA TUNAMTAKA AFIKIEIE UPYA JAMBO HILO NAMNA YA KULISAHIHISHA...........NA AKIJISAHIHISHA AWAOMBE LADHI WATANZANIA KWA KUSAHAU MAJUKUMU YAKE AU VINGINEVYO.

Imetolewa na Joseph Michael
M/kiti BAVICHA Mkoa wa Mwanza
Msajili hakuongea kama msemaji wa Ikulu, alikuwa anatimiza wajibu wake wa kutoa mwongozo kwa vyama vya siasa kuendesha siasa iliyosafi. Upotoshaji na chuki pandikizi vitatuharibia taifa. Kama umekosa sera za kimaendeleo bora ukanyamazishwa tu
 
Usitutoe kwenye mada toka lini ccm wakamchagua mwenyekiti wao wa chama kama sio kukabidhiana vijiti

Lakini wanabadilishana kila baada ya miaka fulani. Je huko upande wa pili kwanini ni huyohuyo?

Punguza kutetea watu, simama katika hiyo demokrasia unayoisema unaipigania... Sio kazi ya kulialia demokrasia midomoni wakati hamuishi kwayo.

Hata kama hawachaguwi, ila kuna kubadilishana, kutokana na katiba ya chama chao, yeyote anaweza kuwa Mwenye kiti, sio lazima awe Rais. Ila katika kuogopa mgongano wa mawazo kati ya Rais ( aliyetokana na chama hicho ) na mwenye kiti, wao wakaamua basi huyohuyo Rais ndiye tutakayempigia kura kuwa ni mwenyekiti wa chama.

Je katiba ya UPANDE HUO WA PILI nayo inasema mwenyekiti lazima awe mtu fulani tuuuu.... Mi nafikiri sio hivyo. Ila mnamuogopa mungu mtu yule kwa kuwa chama hichi ni chake.... Hamna wa kusema nywiiiii,.... kwani ukisema tuu wanakuZITTOlise......
 
Eti Great thinker anadhani Demokrasia ndan ya Chadema haihusu wasio chadema. Rudi darasani kafundishwe sheria ya kuanzisha vyama vingi 1992. CCM itatawala muda mrefu kwa kuwa "Bangi na Viroba vya Chadema" kwa kifupi (Bavicha) hawajielewi kabisaa wanadhani chama cha siasa ni kama suala la kifamilia
Ww kweli kichwa maji mm Niko act wazalendo mambo ya cdm haya nihusu najaribu kufikiri nchi yetu inakoenda naona giza maana watu wa Lumumba mnajiona nyinyi ndio wenye nchi kuliko wengine na rais ni wakwenu peke yenu mnaiuwa demkrasia kwa mambo yakijinga
 
Lakini wanabadilishana kila baada ya miaka fulani. Je huko upande wa pili kwanini ni huyohuyo?
Punguza kutetea watu, simama katika hiyo demokrasia unayoisema unaipigania... Sio kazi ya kulialia demokrasia midomoni wakati hamuishi kwayo.....
Hata kama hawachaguwi, ila kuna kubadilishana, kutokana na katiba ya chama chao, yeyote anaweza kuwa Mwenye kiti, sio lazima awe Rais. Ila katika kuogopa mgongano wa mawazo kati ya Rais ( aliyetokana na chama hicho ) na mwenye kiti, wao wakaamua basi huyohuyo Rais ndiye tutakayempigia kura kuwa ni mwenyekiti wa chama.
Je katiba ya UPANDE HUO WA PILI nayo inasema mwenyekiti lazima awe mtu fulani tuuuu.... Mi nafikiri sio hivyo. Ila mnamuogopa mungu mtu yule kwa kuwa chama hichi ni chake.... Hamna wa kusema nywiiiii,.... kwani ukisema tuu wanakuZITTOlise......
Wanabadilishana kivipi apigiwe kura ndio demokrasia yakweli ashindane na wenzie hiyo ndio demokrasia mpaka mumtumie gwajima ndio wenyekiti upatikane
 
BAVICHA waanze kwanza kupigania Demokrasia ndan ya Chama chao ndio waje Taifani.
Mbowe kaanza kuwa Mwenyekiti wa Chadema wakati huo Jakaya Kikwete akiwa Waziri wa Mambo ya nje wakati wa Utawala wa Benjamin Mkapa mpaka leo Jakaya ni Rais Mstaafu lakin bado mwenyekiti wao anawalazimisha Wabunge kuvaa Makaratasi midomoni wakiwa bungeni yeye akiwa Dar kwenye ishu zake
Ujumbe murua kabisa kwa bavicha hata bawacha maana bavicha wanarukaruka tu hata hawajui wanafanya nini.
 
Usitutoe kwenye mada toka lini ccm wakamchagua mwenyekiti wao wa chama kama sio kukabidhiana vijiti
Muda mwingine huwa nakutafakari sana Wewe unayejiita mwana habari,ila sipati shida kutambua uelewa wako,
Sawa ccm wanapeana je mbona huyo mwenyekiti wenu hajawahi kukabidhi, ndio Maana kuna methali inasema nyani haoni kundule,poleni ukawa
 
Back
Top Bottom