Video ni Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Rigath Gachagua mapema siku ya leo amelazimika kurudia tena kuapa baada ya kushikwa na kiwewe hivyo kukosea kuapa. Unadhani ni Kwa Nini Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Rigathi alishikwa na kiwewe?.
Disemba 9, 2020 mbele ya Rais Magufuli Naibu Waziri mteule wa...
❝ I want to tell the people of Kenya that you are finally free. You don’t have to talk with each other through Whatsapp for fear of being recorded and persecuted by state agencies❝ - Hon. Rigathi Gachagua, VP-Kenya
Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, Imani umeilinda.
Kwa wasio mfahamu Dr. Mwele, alikuwa ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti ya kiafya Tanzania (NIMRI) Kabla Ya Kuondoshwa Kazini Rais Magufuli alipotangaza Kupatikana Kwa Visa Vya Ugonjwa Wa "Zika'' Hapa Nchini Tanzania.
Miezi...
Well articulated kaka, well narrated.....i second you kaka, elimu hii itasaidia wengi kupata uelewa mpana juu ya kwa nini Watanzania wanataka katiba mpya
Novemba 2020 wakati Rais wa awamu ya Tano Hayati Magufuli akihutibia bunge katika ufunguzi wa bunge la 12 MATAGA waliibuka na kumsifia Rais Magufuli kwamba ameweza kukariri hotuba yote, MATAGA walimsifia kuwa Rais Magufuli alikuwa haangalii wala kusoma popote hotuba yake wakati akihutibia bunge...
Alikamatwa akiwa mzima na bukheri wa afya, lakini sasa hivi Mguu wake mmoja umepooza, ni mwanahabari wa habari za kiuchunguzi nchini Tanzania Erick Kabendera
-
Kisa chake cha kukamatwa kinachangaza na kustaajabisha sana, polisi walimkamata, kisha wakakana kumshikilia kwa siku nzima, Watanzania...
Hiki ni chumba chenye kompyuta kilichotumika kujumlishia matokeo mwaka 2015, chumba hiki maalumu cha IT kipo MASAKI JIJINI DSM, Kwa hakika hawa ndio walio msaidia kuhakikisha Rais Magufuli anaingia madarakani kwa namna yeyote ile.
Katibu mkuu wa CCM Kanari Kinana pamoja na uzee hakuweza...
Pamoja na kusemwa kukosolewa pamoja kubezwa na wapinzani na wakosoaji
lakini haikuwa rahisi kwake kutengeneza uadui kwa wakosoaji wake na wapinzani wake kisiasa.
Mwanaume huyu wa nguvu aliruhusu Uhuru wa kujieleza, alikuwa busara na hekima. Rais huyu alikuwa hahutubii taifa kila siku kama...
1. Machi 9 , 2018 Rais Magufuli alifungua tawi la CRDB, chato Kijiji cha Kilimani alipozaliwa
2. Mwezi June 2016 Serikali ilianza rasmi kujenga uwanja wa ndege ambao hivi karibuni waziri Kigwangala amesema Rais Magufuli ameafiki uwe uwanja wa Kimataifa, hivyo utaitwa uwanja wa kimataifa wa...
Kwa hakika sasa naweza kuamini kuwa kuna udikteta kwa asilimia 100 kutokana na kuletwa hizi sheria kandamizi, kabla hajaingia madarakani alisema kuwa "Nikichaguliwa kuwa rais nawaambieni kuna watu watalimia meno.......kwa kweli kwa sheria hizi kandamizi tumeshaanza kulimia meno, tuzikatae na...
Siku za hivi karibuni kumeibuka mjadala mkubwa miongoni mwa wanajamii hasa kwa watu wanaojiita "MAKAMANDA" kulaani kitendo cha wana CHADEMA wenzao kuishabikia Yanga huku wakitoa hoja dhahania kuwa kuishabikia Yanga ni sawa na kuishabikia CCM.
Mara kadhaa marafiki zangu wa karibu Ally Bananga...
Siku za hivi karibuni kumeibuka mjadala mkubwa miongoni mwa wanajamii hasa kwa watu wanaojiita "MAKAMANDA" kulaani kitendo cha wana CHADEMA wenzao kuishabikia Yanga huku wakitoa hoja dhahania kuwa kuishabikia Yanga ni sawa na kuishabikia CCM.
Mara kadhaa marafiki zangu wa karibu Ally Bananga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.