Kuongezeka kwa wanawake wanaotegemea maumbile ni kweli, ukiwakuta kariakoo maduka ya vipodozi wanavyoangaika kama juhud zile wangewekeza kwenye shule au kazin tz ingepaa kiuchumi.
Nimekuta watu kimara wanapanda maroli na pick up nilishangaa usafir ni shida sana. Ni nan amekataza zile gar za mlandizi zisifike mjin?.Ni mateso ya hali ya juu sana.
Kuna tabia fulani kwa baadhi ya wanawake mnapokua faragha kukimbilia kuvua nguo, badala ya kusubiri kuvuliwa na mpenzi wake.
Jamani zile steps za kuvuana nguo zina raha yake na msisimko wa pekee, especially kutoa jeki, kufuli na boxer.
Nashangaa mtu mko ndani dakika nyingi mtu amevua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.