Msaada: Wapi naweza kupata maua mazuri kwa ajili ya bustani hapa Dar?

mkuu katika mambo ya maua ya nyumbani kuna maua ya kuotesha nyumbani na mengine sio
kuna maua ya kuleta baraka,hela , mafanikio etc yaani yaanaaatract positive energy,kuna mengine ni mabalaa,mikosi ,magonjwa etc so be careful hapa nilipo nimechoka nimeshiba vibaya mno nikiwa na nguvu nitakuwekea maua ya kuweka nyumbani ndani na nje .
 
Kweli aisee jili nalo neno kama hii miashok nasikia sii sawa
 
kuna maua hela inakufata tu mkuu . sema wabogo wataponda ila hata wazungu wanaamini hili ninaishi na wakorea na wachina hapa kuna maua yao mkuu acha kabisa wanayatunza humo ndani hata wakisafiri wanaachiana ili yatunzwe
 
Kuna sehemu fulani Kigamboni kama unaenda Gezaulole nime pasahau jina wako pembeni ya barabara na wana real garden kabisa kuonyesha wapo serious na kazi yao
 
kuna maua hela inakufata tu mkuu . sema wabogo wataponda ila hata wazungu wanaamini hili ninaishi na wakorea na wachina hapa kuna maua yao mkuu acha kabisa wanayatunza humo ndani hata wakisafiri wanaachiana ili yatunzwe
Naamini na mauwa yanaongea japo kuna watu watanibishia lakini kuna siri kubwa sana ya mauwa ukiwa na garden nzuri iliyopangiliwa kwa ustadi na baadhi ya miti ya kivuli jaribu siku moja kuyatembelea kukiwa tulivu utagundua kitu akili itashiba na utapama amani ndani ya roho ndio maana wenzetu wa mataifa yaliyoelimika wanathamini sana bustani za mauwa.
 
miashok ni ipi tena mkuu?
Ile watu wanapenda sana kuipanda pembeni ya ukuta huwa inarefuka sana wahindi wanapenda sana kutumia majani yake kufanyia yao na kutunika milangoni ina majani mareefu kiasi kule nasikia jamaa wanapenda kujihifadhi humo wadudu wabaya ngoja tumwite mshana aje atusaidie
 
Ile miti inakuaga imenyooka sana kwenda juu inapandwa kwenye mstar mmoja along the compound fence
nishaisoma ipo sana hapa jirani kwetu hapa mwenye nyumba aliitoa yote ina shida gani ile mkuu?
Ile watu wanapenda sana kuipanda pembeni ya ukuta huwa inarefuka sana wahindi wanapenda sana kutumia majani yake kufanyia yao na kutunika milangoni ina majani mareefu kiasi kule nasikia jamaa wanapenda kujihifadhi humo wadudu wabaya ngoja tumwite mshana aje atusaidie
 
mkuu katika mambo ya maua ya nyumbani kuna maua ya kuotesha nyumbani na mengine sio
kuna maua ya kuleta baraka,hela , mafanikio etc yaani yaanaaatract positive energy,kuna mengine ni mabalaa,mikosi ,magonjwa etc so be careful hapa nilipo nimechoka nimeshiba vibaya mno nikiwa na nguvu nitakuwekea maua ya kuweka nyumbani ndani na nje .
Cc: mshana Jr
 
Ile miti inakuaga imenyooka sana kwenda juu inapandwa kwenye mstar mmoja along the compound fence
Ile watu wanapenda sana kuipanda pembeni ya ukuta huwa inarefuka sana wahindi wanapenda sana kutumia majani yake kufanyia yao na kutunika milangoni ina majani mareefu kiasi kule nasikia jamaa wanapenda kujihifadhi humo wadudu wabaya ngoja tumwite mshana aje atusaidie
algharqad%20ashoka%20-3.jpg
 
ahahaa mbona huyu jamaa wa jirani anayo ana mahela balaa? au mabalaa gani tena?
Balaa sio kukosa pay tu mkuu,mambo mengine pia ya kiulimwengu,ingawa nami sijawahi uliza ni kwa kiss gani huo Mti unahusishwa na mabalaa ila zipo hizi hearsay
 
mi kwangu balaa ni kukosa hela tu mkuu ukiwa na hela hata ugonjwa hupati hivihivi kosa hela ujue muhimbili ipo wapi
Mkuu kuna vitu even pay can't buy,hujawah kusikia kuna watu wanapay na wanalala toilet? Nothing exceed happiness, au we mkwanja first then furaha badae?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom