Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

Huku kijijini unamvuta nyuma ya kichaka, unapiga ngwara ya kistarabu, chupi inachanwa yaani bila hivyo mtasimama na nyumbani haendi na haoni kama ni ugomvi
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hao madada wanao jielewa
Sasa kazi inakuja ukichukua hawa mabint wa miaka 18 mpaka 20 hapo.
Unaweza ukafanikiwa kumvua nguo tena kwa mbinde kosa uende choon ukirudi tu unamkuta kavaaa nguo zote.
Ha ha ha ukianza upya hapo kweli utakuwa Na ugwadu

Hahaha, yamekukuta mkuu
 
Kumvua siyo kazi bali kumvalisha baada ya tendo.Wengi huwavua lakini mchezo ukiisha huwaacha wakivaa wenyewe.Heshima kubwa ni kumvisha mwanamke baada ya kum....Hiyo ni moja ya shukran..
 
Kumvua siyo kazi bali kumvalisha baada ya tendo.Wengi huwavua lakini mchezo ukiisha huwaacha wakivaa wenyewe.Heshima kubwa ni kumvisha mwanamke baada ya kum....Hiyo ni moja ya shukran..
Mhh aiseee kama unamfanyia haya ukweli una ustaarabu sana. Abarikiwe mpenzi au mke uliyekuwa naye. Amepata mume au mpenzi. Unajua watu wanashindwa kufahamu kuwa mwanamke au mpenzi kwao alikuwa anapata kila kitu tena pengine hata zaidi ya wewe unavyompa. Kinachomleta kwako ni kwa kuanzia ni mahusiano na hasa niwe specific mapenzi. Mengine kama maendeleo ni by the way kwa kuwa hata bila yeye kuwepo maendeleo ni lazima uwe nayo tu kama kweli wewe unafahamu maana ya maisha. So let us change, end that myopic thinking, have new attitude, the thing to do with mindset change when it comes to Sexual affairs. Just a little extra will give it a new beginning each day. Try it!!!!
 
Hujaenda India.kule kupata dem ni kwa kujificha ficha.unashangaa unamfungulia dem mlango na saki lake hata hujafunga ukiveuka keshatoa nguo zote
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hakuna fomula, kuvua, kuvuliwa, kupandisha gauni, kusogeza bikini pembeni vyote ruksa inategemea na mood na mazingira
Chagua, nikukiss wapi bibie Evelyn Salt? Maana umesababisha ni stimulate asubuhi yote hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom