Naunza kiwanja changu kiko Mbezi Msakuzi kilomita 2.5 kutoka mbezi mwisho. Umeme upo palepale site na huduma zingine za jamii zipo. Kimeshafanyiwa preminary survey. Ukubwa: mita 20 kwa mita 21.Bei 6.8 milioni. Kwa maelezo zaidi piga 0659 402124.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza kiwanja changu mbezi msakuzi. Nguzo ya umeme iko hapohapo site .ukubwa 20m kwa 21m. Kiwanja kiko sehemu nzuri sana na pia pamejengeka sana. Hatua za awali za upimaji shirikishi zimeshafanyika. Bei 6.5M piga 0659 402124 kwa maelezo zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasema unataka cha ukubwa gani.. Mimi nina kiwanja mbezi msakuzi. Kina ukubwa wa mita 20.5 kwa mita 19. Bei milioni 7. Upimaji shirikishi uko kwenye process. Pamejengeka sana na nguzo ya umeme iko hapo hapo site. Ukitaka picha utaonyeshwa. Barabara ipo ya kuingia na kutoka. Ukivutiwa na haya...
Kama bado hujapata kiwanja mimi ninacho 21 kwa 20 mbezi Msakuzi. Bei ya mwisho kabisa 5M. Miundo mbinu mizuri sana na umeme uko hapohapo site. Piga 0754 773881 kwa maelezo zaidi
Umesomeka vizuri mamii, shida ni hao watoto. Baba yao hupo hai au kafariki? Maana mimi naweza kuingia gharama kuwatunza na kuwasomesha mwisho wa siku baba yao anakuja nakusema anataka watoto wake.Be honest, mlifunga ndoa au mlizaa nae tu? Hua mnawasiliana au hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.