Recent content by kulwasalehe

  1. kulwasalehe

    JamiiForums Tanzania Magomeni, Dar: Kaka ambaka dada wa kazi, amuua na kumtumbukiza chooni kisha kumchoma kisu mama yake mzazi

    Wewe umeiona Magomeni tu ehee.. Vp Sinza watu wanafanya ufuska mpaka kwenye mageti ya watu?
  2. kulwasalehe

    JamiiForums Tanzania Tuwapeleke watoto wakasome kiingereza

    Yaani unamaanisha watu wasome kiingereza ili wafaulu masomo ya juu.. Hii inafikirisha.. Baadae nini sasa? Kwa hiyo Kiswahili kifundishwe sekondari hadi chuo kikuu..
  3. kulwasalehe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi

    Punguzu ushamba hata Dubai ilikuwa jangwa 1990's..Dodoma is making a fast progress.
  4. kulwasalehe

    JamiiForums Tanzania Msumbiji yazitaka nchi jirani kusaidia kukabiliana na Wanamgambo, yasema mashambulizi yanaweza kusambaa ukanda mkubwa zaidi

    Labda mpe mfano wa Congo je wale wanamgambo wanachimba madini au wanalinda maslahi ya makampuni makubwa.
  5. kulwasalehe

    JamiiForums Tanzania Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Sio yote wafaa kuyajua..
  6. kulwasalehe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

    Tatizo kupata au kuugua?
  7. kulwasalehe

    JamiiForums Tanzania Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

    Sio waTz wote manyumbu kama nyie..
  8. kulwasalehe

    JamiiForums Tanzania Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

    Sawa ndugu Mnaijeria..By the way visa yako ikiisha muda wake funga virago..
  9. kulwasalehe

    JamiiForums Tanzania Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

    Mko wangapi?
  10. kulwasalehe

    JamiiForums Tanzania Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

    Siasa za kujifunza ukubwani..
  11. kulwasalehe

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupita barabara ya juu ya Ubungo Interchange, nimewaza tofauti

    Kwa hiyo tuache kujenga miundo mbinu..
  12. kulwasalehe

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupita barabara ya juu ya Ubungo Interchange, nimewaza tofauti

    Kilaza ww unauliza huu ni mchana? Wakati jua unaliona..
Back
Top Bottom