Tusilaumiane kwa hilo Serikali inatakiwa kutatua tatizo la ajira kwa vijana na kupunguza umasikini vinginevyo hakuna suruhu hapo. Mbona hamshangai watu wameenda kupigana Afghanistani Iraq, kwa waasi sehemu mbalimbali. Ni jukumu la serikali kuwa makini na jambo hilo.
Mkuu hawa sisiem ni mfa maji haishi kutapatapa nawaomba wasome kitabu cha Daniel 5:1 na kuendelea na Warumi 3:10 - 15. Muda wao umeisha wanajaribu kuwaaminisha wananchi kiusanii.
hata huku mwanza mambo ndo hayo hayo. viongozi wa ngazi za juu wangetumia muda wao kuja kutoa elimu yani kuwaelimisha wanachama wao mamna ya kuungana na umuhimu wa kuungana. Sababu kama chama cha Cuf kina wafuasi sawa lakini wagombea wao hawakubaliki katika jamii kwa sababu ya kuendekeza udini...
Hawana lolote la kuwaendeleza wananchi wanazoongeza kwenye kodi ya vinywaji na Simcard ni mwendelezo wao wa ufisadi wa kukusanya fedha za kampeni mwaka 2015. Maana wajomba wa majuu wameshawashtukia hawaleti pesa ambazo hazifanyi kazi. Hivi jiulize miaka yote ongezeko ni kodi ya vitu vilele mbona...
wanaccm ni wanafiki pamoja na huyo Kessy ana kesi ya kujibu dhidi ya Wazanzibar alivyowasimanga wakati ndo wanawategemea katika theruthi mbili ili wapitishe rasimu ya katiba. Na kama waliliona hilo kuwa wazanzibar ni mzigo kwa nini wanapoteza muda wao mwingi kujadili kuhusu aina ya muungano...
we ndo umeupamba ukurasa kwa historia iliyosahaulika hongera sana sio kila cku siasa za kujipa ujiko usioisha.Hayo ndo yalikuwa majembe acha sasa wachumia tumbo na kufikiri kwa kutumia makalio R.I.P all Majembez
Hii Thread haina maana yoyote mana imeandikwa na mtu asiyejua ki2 yani mbulula. JK unaweza kumlinganisha na Warioba. Huyu mzee ndo mzalendo wa kweli kwani kudai Tanganyika ndo usaliti au uhaini msiandike vitu kwa ushabiki wa simba na yanga. Kama unataka ujue ukweli kuwa Tanganyika ilikuwepo soma...
Masomi ya tz sio yakuyaamini ndo mabwege kabisa hata unapoteza muda kuyafagilia mana humo kwenye bunge la katiba asilimia 80 ni wasomi unataka wasomi wa aina gani yani hilo bunge ni funika kombe mwanaharamu apite tafakari
Hawa jamaa wamenekana ni limbukeni kwa sababu unaweza kuwa na digrii za saba but your still a fool or ignorance sababu madai yao hayana msingi kwani huko walienda kufanya biashara au kwenda kutengeneza katiba ambayo inawahusu sisi na wao wa watoto wetu watakokuja huko siku za usoni. Madai ya...
We unayesema CCM inawasomi wengi ina mana usomi wao ndo wana hati miliki yakutuchagulia sisi wananchi serikali wanayoitaka wao kwani CCM ndo wameiumba Tanzania au wamewazaa watanzania? KUsoma sio hoja unaweza kusoma ukawa na digrii nyingi lakini ukatoka bila kuelimika. Aidha umeenda kukua au...
Amelifanya taifa letu kuwa ombaomba ni aibu Rais anasema anapokwenda ulaya anaenda kuhemea. Ila tunayataka sisi wenyewe chaguzi ndogondogo tunawarudisha haohao lazima wawe na kibri. Adhabu yao ilitakiwa kuwanyima kura tusisubiri 2015 chaguzi ndogo ndo mtihani tosha. na timu unaiona kwenye mechi...
Mbulula we ina mana maisha yako unaangalizia kwa wahindi naumeona wahindi tu ndo matajiri. tatizo lako umeingia mjini juzi kutoka kijijini. we hujui siri ya utajiri wa wahindi. mfumo wao umeanzia jamatini. kwa hiyo na wewe acha kuweka Tv hata nyumbaoni kwako uone kama utatajirika ----- we
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.