Chama kinatakiwa kifahamu viongozi wake wake, kiwawezeshe, kiwapime utendaji kazi, kipokee maoni na kuyaheshimu kama kuna kasoro pande zote zirekebishwe.
Hizi blah blah tunazosikia sasa sijui alikua galasa, hajui kazi, alikua mamluki ni non sense. Ni upumbavu wa hali ya juu kuanza kusema hayo...
IMEFIKA WAKATI TUHESHIMU MAMLAKA ZILIZOPO.HAIWEZEKANI UTARATIBU ULIWEKWA TOKEA MWANZO KUWA HELA ZOTE ZA RAMBIRAMBI ZIPELEKWE KWA MKUU WA MKOA ARUSHA,HALAFU LEO MSTAHIKI MEYA ANAKWENDA KUGAWA HELA MOJA KWA MOJA BILA KUFUATA UTARATIBU.HII NI DHARAU YA HALI YA JUU NA SEREKALI HII HAITAKIWI...
Mlizunguka nchi nzima kuifanyia kampeni ccm na mlilipwa, so hamna haja ya kulalamika,issue ya kuwagawa mashabiki wenu kwa kuifanyia kampeni ccm ni ujinga wenu wenyewe kwa Kujisahaulish kwamba nyie sio wanasiasa kazi yenu ni sanaa,msitegemee huruma ya viongozi kwa kuwa nyie ni wananch kama...
Salum Mohamed Almasi alizaliwa mwaka 1989 ni mjukuu wa sheikh Muhammad bin Abdurrahman Ashadhuly. Alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi Kivinje iliyopo Kilwa Kivinje darasa la kwanza mpaka la nne akahamia Masasi kwa mjomba wake Dr. Tondwa na kuendelea hadi kumalizia elimu ya msingi...
Hili linapaswa kufanyika haraka kabla muda haujatutupa mkono. Gwajima anachonganisha watu na watu, Gwajima anachonganisha serikali na watu wake , Gwajima anachonganisha bunge na serikali, Gwajima amekuwa Gwajima.
Hatari kubwa inayoonekana kwa Gwajima ni kwamba Tanzania inayo maelfu ya...
Mh sasa nahisi roho inaacha mwili kabisa! Huyu jamaa Prof Mkumbo si ndiyo yupo ktk chama cha Zitto? Anyway bado Mbowe kupewa ubalozi...... Na tuone km atakataa nyie binadamu njaa haina mwenyewe na fedha haina mfano wake unaweza kuumbuka bila hata kujielewa CCM oooohyeee. Ngoja tuwavute mmoja...
Akizungumza na Mtanzania akiwa nchini Canada jana, Dk. Slaa alisema amemaliza masomo yake na baada ya kufanya tafakari atarejea nchini wakati wowote
''Ni kweli nimemaliza masomo yangu. Bado napima mazingira yaliyonifanya niondoke na familia yangu. Baada ya hapo tutaangalia uwezekano wa kurejea...
Wabunge wajitathmini tuliwachagua sisi....na tutawaondoa sisi.....
Mwenye kiti wa Kamati ya Maadili ya Bunge amewaambia waandishi kuwa wao wamemhoji Makonda kwa agizo la Spika. Hivyo Spika alikubaliana na maazimio ya kikao cha bunge.
Azimio hili likipitishwa Mkiti Mtu alikuwa Chenge. Chenge...
Naunga mkono hoja.yule ni miongoni mwa walinzi wa Askofu Gwajima. Ule mchezo umelatibiwa kwa ustadi mkubwa chini ya CMG, CDM Na Nape Mwenyewe.
Piga kazi Raisi wetu kipenzi tupo nyuma yako
Kabla ya Uchaguzi wa mwaka 2015, ulikuwa ukitumika kama Katibu wa Itakadi na Uenezi wa Chama chama cha Mapinduzi. Katika nyakati hizo pengine tuliokupenda ni sisi wanachama wa chama cha Mapinduzi, na watu wachache wasio na chama. Kwa wale wasiopenda CCM wewe ulikuwa adui Mkubwa.
Nakumbuka...
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.
Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na...
KWA JINSI NINAVYOMJUA RUGE KUNA MAMBO MATATU SIJAMUELEWA INABIDI AYAELEZE VIZURI
Jana Nimemsikiliza vizuri Ruge ila kuna vitu vitatu sijamuelewa inabidi aviweke sawa kwa sababu kwa jinsi ninavyomjua Ruge vizuri jana alikuwa chini ya kiwango katika kujieleza ingawa wengi wamemsifia.
1...
Katika taarifa za habari tumemsikia Nape Nnauye akilaani kitendo cha Makonda kuvamia Radio Clouds. Akalaani kwa maneno makali. Mwisho akatangaza kuunda tume ambayo itasikiliza upande mmoja wa RC Makonda ndipo atoe uamuzi. Sasa uamuzi wa haya aliyoyatangaza umefikiwaje? Lakini kwa nini asiiagize...
"Mimi ni Rais ninayejiamini. Mimi ndiye niliyemteua, msinipangie cha kufanya. Mimi sioneshwagi njia ya kupita. Sipangiwi na mtu nani wa kumchagua nani nisimchague. Msiingilie uhuru wangu. Watu wafanye kazi, waache kushinda kwenye mitandao kufanya majungu. Makonda endelea kuchapa kazi. Natumaini...
Hakuna vita ya madawa kulevya inayomuacha mpiganaji salama....
Wapiganaji wengi dhidi ya wauza unga hufikwa na mauti, hufungwa kwa kesi za ajabu ajabu kama kubaka, mauaji na rushwa. Wengine hutukanwa na kuchafuliwa majina kwa habari za kupika na kughushi.
Wasiojua ukubwa wa Vita ya madawa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.