Ray Kigosi alalama wasanii kupuuzwa na CCM na walikuwa wote kwenye kampeni na kulala sehemu chafu

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
FB_IMG_1495106143741.jpg

EBU SIKILIZA ANACHOSEMA RAY
“Wasanii tulizunguka nchi nzima tukilala katika mazingira ambayo ni tofauti na hadhi yetu hivyo ni vema viongozi wetu wakaliangalia hilo, kwani kazi tuliyofanya si ndogo ilikuwa kubwa sana. Kampeni zilikuwa ngumu sisi tumewagawa baadhi ya wapenzi wa kazi zetu na tumepoteza mashabiki wengi sana katika kazi zetu hii ni kwa sababu ya kufanya kampeni za CCM, serikali ijaribu kuangalia hawa wasanii wamepambana kufanya kampeni.”

Chanzo: Mwanaspoti
 
Aache kutafuta kisingizio huku hawana hata ubunifu wa kazi zao zilizododa.

Waende kusomea tena hayo wanayofanya, kwa sababu ni vituko hata mtoto wa darasa la pili anaweza kuandika script nzuri na kudirect zaidi yao na pia screenplay wakaiweka pamoja ikawa bomba zaidi mara elfu.

Hakuna pesa za hongo, walipewa posho ya kuzunguka. Hii ni awamu ya tano, waache uvivu na kusubiriwa kubebwa. Hata kulima wakalime, wavivu wakubwa

Hapa kazi tu
 
Mlizunguka nchi nzima kuifanyia kampeni ccm na mlilipwa, so hamna haja ya kulalamika,issue ya kuwagawa mashabiki wenu kwa kuifanyia kampeni ccm ni ujinga wenu wenyewe kwa Kujisahaulish kwamba nyie sio wanasiasa kazi yenu ni sanaa,msitegemee huruma ya viongozi kwa kuwa nyie ni wananch kama sisi,pigeni kazi acheni kutia huruma
 
View attachment 511081 EBU SIKILIZA ANACHOSEMA RAY
“Wasanii tulizunguka nchi nzima tukilala katika mazingira ambayo ni tofauti na hadhi yetu hivyo ni vema viongozi wetu wakaliangalia hilo, kwani kazi tuliyofanya si ndogo ilikuwa kubwa sana. Kampeni zilikuwa ngumu sisi tumewagawa baadhi ya wapenzi wa kazi zetu na tumepoteza mashabiki wengi sana katika kazi zetu hii ni kwa sababu ya kufanya kampeni za CCM, serikali ijaribu kuangalia hawa wasanii wamepambana kufanya kampeni.”

Source Mwanasport
Wasilalamike Sana wahame chama tu
 
Aache kutafuta kisingizo huku hawana hata ubunifu wa kazibzao zilizododa.

Waende kusomea tena hayo wanayofanya, kwa sababu ni vituko hata mtoto wa darasa la pili anaweza kuandika script nzuri na kudirect zaidi yao na pia screenplay wakaiweka pamoja ikawa bomba zaidi mara elfu.

Hakuna pesa za hongo, walipewa posho ta kuzubguka. Hii ni awamu ya tano, waache uvivu na kusubiriwa kubebwa. Hata kulima wakalime, wavivu wakubwa

Hapa kazi tu
With due respect, ata kama unalipwa au umetumwa lakini you must be fair, kinachosemwa ni kweli. ifike mahala tuwe fair kwa watu, mtu apewe anacho stahili, iwe ni sifa, recognition au heshima, hatuwezi kubeza mchango wa wasanii katika kufanikisha mafanikio ya CCM
 
1. je mlifanya kazi hiyo kwa kujitolea? Mlikuwa mkitarajia nini ?
2. je mlifanya kazi hiyo kwa malipo? mlikuwa mkitarajia nini?

Je katika kampeni zile, ni nyie tu mliolala sehemu chafu? KUNA KITU KIMEJIFICHA HAPA..... STIVE NYERERE , WEWE na nani mwingine?
 
With due respect, ata kama unalipwa au umetumwa lakini you must be fair, kinachosemwa ni kweli. ifike mahala tuwe fair kwa watu, mtu apewe anacho stahili, iwe ni sifa, recognition au heshima, hatuwezi kubeza mchango wa wasanii katika kufanikisha mafanikio ya CCM

Si hawa hawa walitoa mapovu na wenzao wakasema wamelipwa pesa zote walizoambiwa wangepewa, huyu anataka iwehe wakati hawajui kufanya kazi zao zinadoda...ni tamaa tu.

Wanataka wabebwe...hapa kazi tu ikifika 2020 watajiju kuna wengi wanakipebda chama chao cha CCM na watasapoti.

Huyu ni kama kapokea bahasha kuichafua CCM.
 
Back
Top Bottom