Recent content by Kukuru Kakara

  1. K

    Pongezi kwa Shule ya sekondari Magufuli

    Barua imesainiwa tarehe 13 Julai 2017 lakini ni kwa ajili ya matokeo ya 2018!!!!
  2. K

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Hakuna taarifa yoyote ya kutenguliwa uteuzi wa Nape, kwa hiyo wizara itakuwa na mawaziri wawili?
  3. K

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Aliyetajwa kwenye hiyo orodha ni Philemoni Mbowe na wala sio Freeman Mbowe.
  4. K

    Political Leadership CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

    1. Deogratius Nalimi Kisandu 2. Deogratius Pio Kisandu 3. Deogratius Mashaka Kisandu 4. !!!!!!!!
  5. K

    Lowassa aingiza Waisrael kutoa mafunzo ya Kijeshi, Apson Mwang'onda ndiye anadaiwa kuratibu

    Mbona idadi kubwa ya majina uliyotaja sio ya watu wa kaskazini?
  6. K

    BAVICHA Mnafanya nini?

    Wimbo uliounukuu haujatoka nchi jirani ila tuliumba sana hapa nchini miaka ya 60s na 70s mashuleni na JKT wakati wa kukimbia machakamchaka. Nyimbo nyingine maarufu zilikuwa za kumlaani nduli Iddi Amin na Banda wa Malawi pia kuna nyingine na vibwagizo kibao kama "kaburu akija chija"
  7. K

    Ukinyonga na unafiki wa Sitta na Mwakyembe wadhihirika

    Kama Samwel Sitta akimkasirisha Mwalimu Nyerere kwanini alikuja kumteua kuwa waziri 1977?
  8. K

    Rais Kikwete aenda Uholanzi kupokea tuzo bora ya Rais mwenye ushawishi Duniani

    Hapo Maputo alipoenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais mteule ndio Uholanzi???!!
  9. K

    Ikulu ya Tanzania yabadili Anuani yake

    Ikulu ipo katikati ya barabara ya Luthuli na Barack Obama (zamani Ocean road) na kwa pande zote kuna mageti ya kuingilia. Pia upande mwingine kuna barabara ya Magogoni ndio maana wengine huiita Ikulu ya Magogoni.
  10. K

    Pikipiki zilizoletwa na CHADEMA zaleta mgogoro makao makuu

    Hakuna mkoa wa Moshi, Songea wala Musoma bali hiyo ni miji katika mikoa ya Kilimanjaro, Ruvuma na Mara. Nilikuwa natoa tu elimu ya jiografia ya nchi yetu.
  11. K

    Yanayojiri bungeni leo tarehe 3 June, 2014: Makadirio ya bajeti Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii

    Mdau kabla hujatuma kitu jaribu kwanza kufanya utafiti ili usijiabishe. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii sio ya muungano, SMZ wanayo wizara yao ya afya na inaongozwa na Mhe Juma Duni Haji.
Back
Top Bottom