Recent content by kukumdogo

  1. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Mbosso anaimba Taarab sio Bongo Fleva, nashangaa sana mwanaume kuimba nyimbo za Mbosso

    Huu wivu wa kike kijana. Itabidi tukupeleke kwa dudu baya
  2. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya Afya ya Jeshi(JWTZ) haitusaidii Wanajeshi na Familia zetu

    Nashauri wakatibiwe hospitali za polisi au magereza kuna mabingwa kule. Sikuizi polisi wameendelea kuliko wajeda
  3. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia masheikh wengi wakisema sasaivi haki haitakiwi ila amani ndio ya msingi

    Nimeshuhudia masheikh wengi wakisema sasaivi haki haitakiwi ila amani ndio ya msingi. Lakini quraan inasema uislam ndio dini ya haki. Je uislam unaongozwa na matakwa binafsi ya mtu au quraan?
  4. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi wasanii wa zamani wanawake hawapo?

    Nyie mnaeza Sema alikiba sio wazamani kwa jinsi ninavyowaona.
  5. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi wasanii wa zamani wanawake hawapo?

    Labda tuanzishe upya ila waliomba msamaa
  6. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi wasanii wa zamani wanawake hawapo?

    Ndio wazamani nimeanza wasikia miaka ya 2010 hivi
  7. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi wasanii wa zamani wanawake hawapo?

    2007 paka 2010 ni zamani sana
  8. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi wasanii wa zamani wanawake hawapo?

    Ndio
  9. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi wasanii wa zamani wanawake hawapo?

    Nimeona wanaoenda mikoani ni wanaume tu ila wanawake kama Jide, RC, Ruby, Maua Sama, Zuhura mrisho wote siwaoni. Au mfumo dume? Sikilizeni hizi hapa https://open.spotify.com/track/5OZFKa8fuMNnyHwBnJIHAO?si=MBE-c6prR1WyKwXG3Z861Q&utm_source=copy-link...
  10. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Nitasimama na Rais Samia hata ikibidi kufa kwa ajili ya kumlinda na kumtetea. Sitakubali Mtu amhujumu

    Hiyo mibange uliyovuta ni ..............................
  11. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Iran: USA isifikiri iko salama tena wakati wowote itavamiwa

    Kumbukizi
  12. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Ekari 87.5 za bangi zateketezwa Januari - Februari

    Wenzenu wanatumia kutengeneza madawa nyie mnachoma moto? Alafu mnanunua madawa kwa bei ya juu? Tutumieni akili basi kidogo
  13. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Papa hadi WAISLAM wanaripoti kwake

    Kasome umuhimu wa Vatican katika nchi za kiarabu.
  14. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Papa hadi WAISLAM wanaripoti kwake

    Unataka ushahidi kutoka kwenye maandiko au wapi?
Back
Top Bottom