Hivi wasanii wa zamani wanawake hawapo?

Hivi wasanii wa zamani wanawake hawapo?

Mkuu mimi siwezi tu kuwa najilipua,,,

Niliahidiwa cheo lakini nikazingua,,,

Sikuombwa hata ada wala kunijuajua,,

Sijaiunga mkono pamoja na Royal Tour,,
Basi utaendelea kutuona nyeto tukijipigia,
Na utaona dhidi ya magonjwa tutakavyojikingia,
Tutakuwa na afya tele, yaani tutajinenepea,
yaani kiufupi hatupendi usumbufu wala kuumia.
 
Hawa madogo inaonekana wamepagawa..

Wanaweza hata ulizia bangi kwenye duka la Madawa..

Kama angekuwa mboga basi angechotwa na upawa..

Sio mbosso lakini anaishiwa ishiwa pawa..
Hapo kuulizia bangi kwenye duka la dawa umenikumbusha kibonzo kimoja kuwa mzee alimuona kijana anavuta sigara kanisani-karibu na yeye adondoshe bia yake.
 
HIVI ZILE HARAKATI ZA KUTOKWENDA KU SUPPORT MIZIKI NA SHOW ZA WASANII WALIOIMBA KWENYE KAMPENI ZA CCM MWAKA 2025 ZILIFIA WAPI AU ILIKUWA NI MIKWARA TU ?
Labda tuanzishe upya ila waliomba msamaa
 
Are you serious? Hao wote uliowataja sio wazamani! Wameibuka kwenye generation ya kuanzia 2012, The rise of Worst generation iliyocopy kila kitu kutoka nigeria to Amapiano.

Target ilitakiwa iwe wa kuanzia 2007 kushuka chini, hapo ndipo kuna True & original bongo flava
 
Rubby na maua sama na wao ni wasanii wa zamani !? 😆😆

Yaweza kuwa umezaliwa 2014 sio Bure that's why unawaona hao ni wazamani
 
Back
Top Bottom