Recent content by kukumaji

  1. kukumaji

    Akili ya BMW kwenye Magari

    5km kwa liter, nina 320i ya 2007. Katika reading zangu, ilo calculation inatumia data za kipindi hicho, wajuzi mtanisahihisha ila inchofanya inachukua estimation ya km 30 zilizopita ulitumiaje mafuta halaf ndo inakupa hiyo figure, nadhani pia kutakuwa na vimahesabu vingine. sasa changamoto...
  2. kukumaji

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    We bought this machine for heavy data processing. Any comment kwa wajuzi wa mambo?
  3. kukumaji

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    kama unatumia PC tumia 4K Video Downloader | Free Video Downloader for PС, macOS and Linux kwenye simu https://www.videoder.com Web results Videoder - Free Youtube Video and Music Downloader for ...
  4. kukumaji

    Apps ya GPS

    unaweza tumia hii app ODK Collect - Apps on Google Play, odk collect unafanya zaidi ya survey. ila gps accuracy inategemea na simu ila unaweza pata hadi 1m accuracy kwa simu za range 200,000 na kuendelea. changamoto moja tu, ni jinsi gani ya kuiset ila ni full surveying app, utatupa karatasi...
  5. kukumaji

    Jinsi ninavyotengeneza Websites zenye mvuto bila ujuzi wowote wa Coding (Hatua kwa Hatua)

    Umetisha mkuu, hongera kwa kutoa elimu bure, elimu ambayo watu wanapiga fedha mjini
  6. kukumaji

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Kama na ww utakuwa na ukimwi...kamwe hautopata
  7. kukumaji

    Kidole kuchesa

    Dah, ukiangalia plan zangu zinavyoenda inaweza ikawa kweli..asante kwa maono yako mema
  8. kukumaji

    Kidole kuchesa

    Hahaha....kazi ya auto correct ndo imefikisha huko, nadhadi developer ndo atakuwa na asil ya upare
  9. kukumaji

    BMW X6

    Hi guys, aneifahamu vizuri hii gari naomba msaada Wa range za bei na upatikanaji wake Tz. Bei kuanzia used Tz iliyo katika Hali nzuri, na kama Kuna uwezekano Wa kupata used nje, Pia bei ya mpya. Pia comment kwa sustainability yake kwa Hali ya Tz ya miundombinu na kuihudimia kwa jumla...
  10. kukumaji

    Kidole kuchesa

    Khabari wana jukwaa. Nina tatizo nikikaa nimetulia kuanzia dakika mbili au zaidi kidole (kidole kidogo kabisa au iinachofuata) cha mkono wa kushoto kinachezacheza, Hamna maumivu, imeanza kama siku tatu zikizopita
  11. kukumaji

    Mwanamke kutofika kileleni, nini tatizo?

    Miaka 31. Usiishie kuangaika kumkojolesha tu. Na umuuoe
  12. kukumaji

    Dar es salaam

    *Yanayoendelea Dar kuna haja ya kuweka kiingilio hapo chalinze.* [emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom