Kidole kuchesa

kukumaji

Member
Mar 21, 2017
13
16
Khabari wana jukwaa.

Nina tatizo nikikaa nimetulia kuanzia dakika mbili au zaidi kidole (kidole kidogo kabisa au iinachofuata) cha mkono wa kushoto kinachezacheza, Hamna maumivu, imeanza kama siku tatu zikizopita
 
Back
Top Bottom