Kwenye kiwanja, uchukue na hela japo ya kuzungishia ukuta kama wakiwa wachoyo ya kukupa ya kujenga. Lasivo, hiko kiwanja ulichonunua kitakuwa ndani ya tumbo la muuzaji.
Kiongozi bado sijaelewa uwongo wangu uko wapi.
Hiyo ishu ya miaka mitatu na B5 ni shida ya mtu binafsi. Nilichokisema ni kwamba UKIWA BRIGHT NA SMART, unaweza kumaliza CPA within 2.5yrs. Sio mimi nasema hivo, ni syllabus
Hiyo ishu ya miaka 3 nahisi hujaielewa vizuri na haiko hivo unavofikiria...
Waliokosa opportunity ya DSE, get your feets wet. The next opportunity is coming within 5 months
Ref sec 11 of the new Finance Act 2016. The section relates with ammendments of sec 26 of Electronic and communication act Cap 306
Network providers companies like tigo etc are required to offer...
Smart people always play with peoples emotions in stock markets
just go through the today DSE daily report. U will have noticed something
If u want to succeed, u need to control your emotion always
Demutualization ya soko imetendeka. Now its shares are listed in its own floor. Bei kupanda twice is not necessarily meaning its financial performance is good. Ni watu tu wana favourablr expectation on its future performance. We believe the market will expand and new products will be introduced...
Brother, a word of advice. Sidhani kama hii ni njia nzuri ya kutafuta business partner. I can assure you kutafuta mke ni rahisi sana kuliko kutafuta business partner.
Najua kuna watu unawafahamu kwa muda mrefu na huko nao kwenye hio fani. Hao ndio your first potential business partners...
Ni muhimu kuanza kujifunza kazi kwanza kabla ya kujiajiri mwenyewe. tafuta sehemh upige kibarau kama ulivoshauriwa ila wakati unapiga kazi anza kufungua miradi yako kidogokidogo, leo unanunua mikokoteni unaanza kukodishia watu, kesho unanunua pikipiki unamwajiri mtu, kesho kutwa taxi, kesho yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.