Recent content by KUKU WA KIENYEJI 2018

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika kwa kushitakiwa kesi nyingi za Haki za Binadamu. Kati ya kesi 180, Tanzania ina 117

    Kuwa na kesi nyingi mahakamani za haki za binadamu ndio uhuru wa mahakama na ukuaji wa demokrasia nchini....kuna nchi kama Sudan kusini,Uganda,Republic Democratic of Congo...hizi nchi zina ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ikiwemo watu kushindwa kujua haki zao na kwenda mahakamani...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Kumbukumbu na ushahidi unaniambia kuwa manabii hawakutulia bali wote kwa umoja wao walipaza sauti kila ilipoitwa leo kutabili Raisi ajaye. Na utabili huu ulianza mwishoni mwa mwaka 2010 na kuzidi kati ya miaka ya 2014. Ni wakati ambapo timu ambayo ilikuwa machachali na timu ya hatari tena...
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JPM boarded dreamliner to Mwanza

    Hongera shujaa wangu...watapata tabu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania NEC yawataka wamarekani kutoa uthibitisho wa madai yao kuhusu Chaguzi za Agosti 2018

    (1).Uchaguzi Mdogo huwa hauna waangalizi wa kimataifa,Je Ubalozi huo umetoa wapi taarifa hizo? Na hayo waliyoyaona,wameyaona kwa kutumia utaratibu upi? na sheria ipi? (2).Katika jimbo la Buyungu mgombea wa ubunge wa Chadema alijitokeza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii akaeleza...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Halima Mdee ndani ya ndege ya walipa kodi(787-8 Dreamliner)

    11zas11wzwx1zw2wwwzwwqzazas1zzqaqaaz1ww
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri matokeo ya Mbunge jimbo la Buyungu na uchaguzi wa madiwani kata 36 Tanzania bara

    Habari zenu wana jamvi...jamani mimi nipo kijijini sana huku Katavi,naombeni mnipe matokeo ya udiwani Ngudu Kwimba...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara wa laki saba naweza kujenga nyumba?

    Hata laki tatu na nusu unajenga tu....ni namna matumizi yako uyapangavyo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Halima Mdee ndani ya ndege ya walipa kodi(787-8 Dreamliner)

    Ndio vizuri hata lissu atapanda
Back
Top Bottom