Recent content by kuku mwenye mimba

  1. K

    Msaada overdraw kwenye visa prepaid card

    mods naomba mnifanyie marekebisho ya title ya huu uzi isomeke “Msaada overdraw kwenye visa prepaid card"”
  2. K

    Msaada overdraw kwenye visa prepaid card

    thanks mkuu kwa kunishtua.ni visa prepai card na sio credit card.
  3. K

    Msaada overdraw kwenye visa prepaid card

    mkuu mimi niliyonayo ni hii
  4. K

    Msaada overdraw kwenye visa prepaid card

    dah ,inabidi niwasusie hii kadi tena,na niachane nao.
  5. K

    Msaada overdraw kwenye visa prepaid card

    yap mkuu.nahakika sijavunja sharti lolote.coz hata statement walonitumia sioni hyo kitu overdraw
  6. K

    Msaada overdraw kwenye visa prepaid card

    Mkuu iko hivi. Huwa nawekewa fedha zangu kwenye kadi Tanzania,then ninatoa huku niliko.charges za kawaida ninakatwa.tatizo limekuja juzi nilifanyiwa online transfer ya tsh 200,000.salio lililopo ni pungufu ya 130,000.na maximum ya kutoa fedha kwa mwezi ni tsh 18 million.na sijawahi fikisha hyo...
  7. K

    Msaada overdraw kwenye visa prepaid card

    United Bank for Africa.(UBA)
  8. K

    Msaada overdraw kwenye visa prepaid card

    Mi ndiye ninaye itumia kadi.nimeingia online ,hyo overdraw siion.nimeomba statement wamenipa.wame hilight sehemu wanayo dai ni overdraw ,lakin ni siku niliyotoa kiasi kamili cha pesa.nachojiuliza inawezekana vip ku overdraw 400,000 katika kadi y kwanza na 130,000 kqtika kadi ya...
  9. K

    Msaada overdraw kwenye visa prepaid card

    wakuu salaam kwenu Ndugu yenu ninashida inayonitatiza upande wa visa prepaid card.nina visa prepaid card ya UBA,nilikuwa na visa prepaid card ya kwanza mwaka jana october,katika mazingira ya kutatanisha nilipoweka hela nikakatwa tsh 400,000.niliwatumia bank email,wakanijibu kuwa nimekatwa hela...
  10. K

    Filamu: Lone Survivor

    Wali timiza rule of engagement,ambayo hairuhusiwi kuua raia
  11. K

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu nichek whatsApp +8613247694029 upate hyo kazi.duka lipo kkoo,mtaa wa aggrey
  12. K

    China MBBS Scholarship 2016

    Nilimaanisha unaweza ukaambiwa chuo knatambulika coz wao wanataka u enroll tu.then unapata 100% scholarship?kuwa makin sana na agences ,mnaweza kushikana uchawi nchi za watu
  13. K

    China MBBS Scholarship 2016

    Kusoma nje ya nchi lazma ujaribu kutafuta vyuo ambavyo kuna watu washasoma na wamekuwa recognized na degree walotoka nayo huko.nimeona hii kitu pia ,mtu akikutajia chuo alchopo unajiulza alikipataje coz huwez kukuta details za chuo sehemu yoyote. BTW ,ukifanikiwa kuja karbu sana china,utatukuta
  14. K

    China MBBS Scholarship 2016

    Nan wanaofadhili masomo?coz kama ni serikali lazma chuo ktakuwa recognized,ila kama sio,then tafuta details zake kabla hujapukutisha 6 years pale.pia unapata full scholarship?coz kama unasehemu ya kujilipia yawezekana jamaa wanataka kupga hela tu
Back
Top Bottom